Tafakari ya kipanya

Mnyerede

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
210
226
f84e418526a538890ad3554ee5cf0aa8.jpg
 
Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure

Tumelima, kilimo chetu tunategemea mvua msibu huu zimegoma kuja kwa wakati, ile akiba yetu tuliuza tupate pesa ya kujikim na kulipa ada kwa nduguzo chuoni
 
Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Mwenzetu unaishi ikulu nini? Maneno yako sawa na ya Mr. Pombe leo Simiyu. Walime kuna mvua au umeshatengeneza mifereji ya umwagiliaji? Yawezekana wewe umezaliwa Manzese, umekulia Manzese na kuolewa manzese ingawa sasa unaishi Ikulu kulikojaa ghala lakini haijabadili haiba yako.
 
Eeeeh

Mkalime, mkafanye kazi

Hata awamu zilizopota wa njaa walikuwepo kama kawaida

Watu waache uvivu na kutaka vya burebure
Sasa naamini humu kuna raia Wa nchi jirani huwa wanachangia tunapojadili matatizo ya nchi yetu. Mtanzania hawezi kuwaita watanzania wenzake wanaokaukiwa na mazao shambani kwa ukame kuwa ni "wavivu wanataka vya burebure"
 
24hrs said:
ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...
Usimbishie sana huyo madam labda na yeye ananufaika na utawala huu..unajua ndugu kuna watu huu ni mwaka wao wa bahati hivyo wanatetea kila kitu hawajua hali halisi ya maisha.
 
Sasa naamini humu kuna raia Wa nchi jirani huwa wanachangia tunapojadili matatizo ya nchi yetu. Mtanzania hawezi kuwaita watanzania wenzake wanaokaukiwa na mazao shambani kwa ukame kuwa ni "wavivu wanataka vya burebure"

Njoo unirudishe unaposema natwokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom