Tafakari ya kipanya

We ni awaju sana serikali yenyewe ina kitengo cha kilimo,je uliwahi kusikia inamiliki mashamba ya umwagiliaji?achana na vishamba mashamba kama unafikiria ni kumwagilia kwa kutumia ndoo kama unavyomwagilia maua nyumban

Wewe MBWIGA kazi ya serikali sio kulima na ndio maana haina mashamba siku hizi!!! Serikali inaweka sera ya kuwawezesha wanaotaka kulima walime; nenda Mvomelo ukajionee wanaume wanavyokatua ardhi!!
 
Kama kuna njaa kawanunulie chakula na pesa uliyokopa kuingia jf ili msife njaa.

Bwana wako FARU JOHN ndio mwenye jukumu la kuhakikisha raia wake wana chakula na wala sio mimi stupid.

Wanaokufa njaa waambie waende wakajiandikishe walipo, tujue wapo na mahospitali yapo wawahi wasipate magonjwa.

Sasa hivi mbona umebadilisha si ulisema "WAKALIME" bila ya kufkiria kuwa zao ili kustawi linahitaji kitu gani ili mkulima aweze kupata mazao mazuri.

Na pia jua vya dezo havipo kama hawali.

Kila nnachohitaji napata kwa pesa yangu wapi nimesema nahitaji vitu vya bure.

Jaribu kuficha ujinga uliopo kichwani mwako. Utawarithisha wanao.
 
Tuwe wakweli
Define ....................................
NJAA.
WHAT IS NJAA?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom