Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,532
- 105,235
Hali ngumu wapi mkuu...?hali ngumu mama ama kwa sababu unatembelea voxy wagen hatupumui
Yaani huo ugumu wa hali umeletwa na nini?
Hali ngumu wapi mkuu...?hali ngumu mama ama kwa sababu unatembelea voxy wagen hatupumui
na nilivo na njaa ya fedha ad msos ntakuja pm un mpe mchango wako ndugu ushimenHali ngumu wapi mkuu...?
Yaani huo ugumu wa hali umeletwa na nini?
Watanganyika hatupendi kuambiwa ukweli aiseeee....Mmmmmh
Ndio ukweli huo.
Mie natembelea miguu

Aiseeee......Wanalima nini wakati mvua hazinyeshi?
ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...
Heshima ikurejee mkuu....Serikali haina shamba.

usicheke mkuu kama upo teyal nije pm ndugu...Aiseeee......![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu....Tumelima, kilimo chetu tunategemea mvua msibu huu zimegoma kuja kwa wakati, ile akiba yetu tuliuza tupate pesa ya kujikim na kulipa ada kwa nduguzo chuoni

Mkuu....ahaaa sawa madam lakin ukwel ndio huo njaa kwel ipo na mifugo inakufa daily na mtu huakika wa milo 3 haupo tena sasa ni mlo mmja hatali sana hii...
mwenye shibe hamjuh mwenye njaaMkuu....
Jifunze kutofautisha baa la njaa na ukame.
Baada ya hapo ndipo ukuje tuendelee kubishana kwa hoja.
Kuhusu mifugo, kwanini msiiuze ili kununua chakula kwa kukabiliana na njaa?
Kama ni mtanzania kutokua na uhakika wa milo mitatu kwa siku,.... Hili lilikuepo tangia awamu zote nne zilizo pita.
Hivi.....mwenye shibe hamjuh mwenye njaa

Japokuwa sijasoma kihivyo ila elimu na maarifa nliyonayo yanatosha kufaham kuwa ili mazao yastawi yanahitaji ardhi yenye rutuba pamoja na maji.
Sasa kama hakuna mvua na irrigation haiwezekani kwa eneo husika kulima huko analimaje mkuu...?
Hapo bado pesa ya kukodi eneo, walimaji, mbolea, madawa nk
Kipato chenyewe ndio kama hivyo na ajira wamesitisha, hivi ulifkiria kwanza kabla ya kuandika...?
We ni awaju sana serikali yenyewe ina kitengo cha kilimo,je uliwahi kusikia inamiliki mashamba ya umwagiliaji?achana na vishamba mashamba kama unafikiria ni kumwagilia kwa kutumia ndoo kama unavyomwagilia maua nyumbaniUna mawazo finyu kwani unadharau capacity ya kilimo cha umwagiliaji na jinsi kinavyoweza kuzalisha mazao ya kutosha!! Umewahi kusikia jinsi wanavyozalisha mazao huko jangwani Israel? Kama wao wanaweza huko jangwani sisi tunashindwaje tukiwa na mito na maziwa lukuki? Acheni uvivu wa kufikiri.
ahaa sasa huamin ama kaka life gum jf tnazuga na hv v id vyetu vinatuficha kwa mengi...Hivi.....
Tukiwaita wenye njaa, nawewe utajitokeza...![]()
![]()
Katafute kazi kwingine sio lazima serikalini.
Muda unao tumia kuperuzi humu jf, ungekua unaenda kutafuta hata vibarua ili upate chochote kuliko kukaa ukilalamika tu humuahaa sasa huamin ama kaka life gum jf tnazuga na hv v id vyetu vinatuficha kwa mengi...
ahaaa umeniweza leo ama njaa ipo pale pale na jf sitok ngo kama id inavokudirect 24hrsMuda unao tumia kuperuzi humu jf, ungekua unaenda kutafuta hata vibarua ili upate chochote kuliko kukaa ukilalamika tu humu
Mkuu....
Ebu tuwe wakweli.
Kwamfano mvua zingelikua zikinyesha vizuri, je kipindi hiki ungekua umesha vuna?
Hivi jamani.... Tutaja acha kulalamika lini....![]()
![]()
![]()
Basi sawa....ahaaa umeniweza leo ama njaa ipo pale pale na jf sitok ngo kama id inavokudirect 24hrs
Baada ya hapo ndipo serikali itakua na wajibu wa kutangaza baa la njaa, pamoja na kuwajibika kuwasaidia wananchiNingekuwa bado sijavuna, LAKINI ningekuwa na uhakika wa mazao yangu yapo shambani, sasa shambani hakuna kitu mazao yamekauka, je nini kinakuja mbele yangu?
Tatizo lako unafkiri kwa kutumia makalio. Hii ni hatari sana kwa afya ya ubongo.
Aliyekwambia nataka kazi serikalini ni nani...?. Tayari nna kazi ambayo inanitosheleza kuliko hiyo ya serikali unayoishobokea.
Staki kusema labda unawashwa pengine unatafuta wa kukukuna NO ila ni ufinyu tu wa kufkiri na ndio maana unashindwa hata kuelewa wewe na MFALME **** wako mnaposema "MKALIME" wakati mvua hakuna hayo mazao yatapatikana vipi...?
Nani kawaambia kilimo kinaweza kuwa rahisi kihiiiivyo kama mnavyodhani...?
Punguzeni kufkiri kwa kutumia makalio aisee. Ni hatari sana.