Tafakari ya Kipanya leo ipongezwe

Tafakari ya Kipanya leo ipongezwe

Ujumbe ambao upo kwenye hiyo katuni unaweza kuuandikia kitabu chenye kurasa 200. Kipanya yuko vizuri sana.
 
Huyu Kipanya nimeamini na kumkubali kuwa ni bonge la msanii nguri na mzalendo
b181dafe097690c3929c0580ae056f49.jpg
Kama nilimuelewa vizuri ni kuwa hizo ni wish ambazo kama baba mie nampa big up. Alisema hamna njaa sasa ivi mahindi yapo kila mahali. Akichemsha anafanya tu ivo kama binadamu wa kawaida ila dhamira yake ni njema. Lets back up him.
 
Huo ni mtazamo wako sisi tupo na kipanya
 
Back
Top Bottom