faiza jibu hoya nyie sindio watu wa demokrasia,wewe upo YANGA mabaya ya simba yanakuwasha na kipi?mnalenu na limeshindikana msha invest pesa nyingi sasa mnabwabwaya tu,leo hii CHADEMA inapendwa na wana CCM wakianza na Nchemba,mnalo mwaka huu unamjua mtu anayeitwa MESSI ni mfungaji mzuri sana wa mabao,ila hata siku 1 ajawahi sema kwakua mimi ni kinara wa kuziona nyavu sitaki mabeki wala kipa katika timu yangu mimi nitacheza mwenyewe,sasa mje hapa mtueleze kwanini ndani ya miaka 8 tu mmebadilisha makatibu wakuu 4 na CC mmefunja zaidi ya mara 2 tena mara ya pili ndio mwenyekiti alisubiri mpaka miezi miwili akamilishe idadi demokrasia mnayoitaka CHADEMA mbona nyie ata amuihubiri mnalo watu tunaelekea KANANI,wale walegevu watabagi jangwani