Tangu kufanyika maamuzi ya kamati kuu ya chama cha CHADEMA wana ccm wengi wamekuwa na taarifa za kupotosha umma kuwa eti CHADEMA ni madikteta ebu watuambie wao tangu JK awe mwenyekiti ameshafukuza makatibu wa ngapi kama nakumbuka vizuri
1.Ndugu Philip Mangula
2.Ndugu Yusuph Makamba
3.Ndugu Wilson Mukama
4.Ndugu Abrahamani Kinana
nahapo hapo ameshavunja CC zaidi ya mara mbili demokrasia kwa CCM ipo wapi?maana hata katiba yao inasema lazima viongozi wamalize miaka 5,