Tafakari ya kina ccm na upotoshwaji wa taarifa kwa makusudi

sawa

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,753
925
Tangu kufanyika maamuzi ya kamati kuu ya chama cha CHADEMA wana ccm wengi wamekuwa na taarifa za kupotosha umma kuwa eti CHADEMA ni madikteta ebu watuambie wao tangu JK awe mwenyekiti ameshafukuza makatibu wa ngapi kama nakumbuka vizuri

1.Ndugu Philip Mangula
2.Ndugu Yusuph Makamba
3.Ndugu Wilson Mukama
4.Ndugu Abrahamani Kinana


nahapo hapo ameshavunja CC zaidi ya mara mbili demokrasia kwa CCM ipo wapi?maana hata katiba yao inasema lazima viongozi wamalize miaka 5,
 
faiza jibu hoya nyie sindio watu wa demokrasia,wewe upo YANGA mabaya ya simba yanakuwasha na kipi?mnalenu na limeshindikana msha invest pesa nyingi sasa mnabwabwaya tu,leo hii CHADEMA inapendwa na wana CCM wakianza na Nchemba,mnalo mwaka huu unamjua mtu anayeitwa MESSI ni mfungaji mzuri sana wa mabao,ila hata siku 1 ajawahi sema kwakua mimi ni kinara wa kuziona nyavu sitaki mabeki wala kipa katika timu yangu mimi nitacheza mwenyewe,sasa mje hapa mtueleze kwanini ndani ya miaka 8 tu mmebadilisha makatibu wakuu 4 na CC mmefunja zaidi ya mara 2 tena mara ya pili ndio mwenyekiti alisubiri mpaka miezi miwili akamilishe idadi demokrasia mnayoitaka CHADEMA mbona nyie ata amuihubiri mnalo watu tunaelekea KANANI,wale walegevu watabagi jangwani
 
Kwa hili jamaa zangu wamezidiwa..Ngoja niwasaidie kujibu..

CCM hatukuwafukuza..Tulivua Gamba..

CCM oyee..
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.


mkuu katika dhana ya uwajibikaji ndani ya ccm na maadili, hawa wawili kwa kuanzia wanatosha kisha tutaendele...

Chenge baada ya kukubali kuwa anavijisenti vya rada, nihatuagani za kinidhamu zilichukuliwa?

Lowasa alijiuzuru kwa kukosa uadilifu je? mahakama imeshirikishwa kwa kutumia madaraka vibaya?

 
Hawakufukuzwa hao!Ila mfumo wa chama chao wanabadili kama mhusika haendani na kasi wanayoitaka.


Lowasa hakutoswa? au wenyekura nyingi bungeni sio ccm?

katiba ya ccm inasemaje.....wanabadilisha makatibu wakuu kila baada miaka mingapi vile au ....
 
Kwa hili jamaa zangu wamezidiwa..Ngoja niwasaidie kujibu..

CCM hatukuwafukuza..Tulivua Gamba..

CCM oyee..


Gamba gumu kabisa ambalo Mnauye alijigamba eti litabanduka ni Lowasa......Thubutu kidogo Nape limtowe

damu
kwanini asisepe nakulianzisha kwa chiza....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom