hapa kuna mmoja maskini sana tena ambaye hata kuish kwake kwa kesho hajui na kuna mwingine hajui kitu kinaitwa shida lol!
tena umasikini wa kufa mtu,sasa hapo kuna umuhimu gani wa kuzivaa ikiwa sehemu zote za kuchomea miba ziwazi hakika tupo shimoni na sijui ni lini tutachomolewa.![]()
Kuna mtu alipata kutafsiri maana ya umasikini alisema kwa kifupi kabisa kuwa Umasikini ni kuishi nyumba moja na Mende na Panya!
Nami naongeza kuwa na Ndala kama hizi ni dalili critical ya umasikini.
kwa hoyo kwa maana ingine waipendao ccm ni wale ambao kwao shida zimewapitia mbali sana,kama nimekuelewa lakinihapa kuna mmoja maskini sana tena ambaye hata kuish kwake kwa kesho hajui na kuna mwingine hajui kitu kinaitwa shida lol!
hivi kati ya fukara sana na tajiri sana kuna nani katikati??
btw hiyo raba nimeipenda sana.
ni kweli kabisa, nimetembelea thread kama 10 hivi nadhni hii paste anatembea nayo kila mahali ni maneno hayohayo..................... angalia profile yake........ana haki yake lakini.............(Ibara 18 URT Const.)Mwanamalundi leo umelala wapi?
Jadili hiilete mada za maana. kama hamna cha kuandika nyamazeni kimya.
lakini miba na moto wa ardhi baada ya kupashwa na jua jumlisha viuchafu vidovidogo vinamkomesha.akizivaa hayaonekani hayo matobo