unga robo teh teh tehhView attachment 78593
Menyu chini ya Ulinzi...Hii ni Uswazi
View attachment 78603
yameshatoka nayarejesha tu kwa tafakuri jadidi.....najua mnajua kilichoandikwa kwenye hilo bango.......
View attachment 78593
Menyu chini ya Ulinzi...Hii ni Uswazi
Mboga harufu ya dagaa kwa jirani
hilo la utupu.................................ah niishie hapa habari za asubuhi.kwa kweli kila kitu kwake ni taabu panapo utupu hapo
...yawezekana pia jamaa analinda vipaja na vipapatilo vya kajogoo kake wasimdokolee!..ubunifu mzuri.Hii sijapata kuona!
Sure, lazima haya ni mambo ya uswazi.
Lakini pia inaweza kuwa ni design ya Pressure cooker, ambapo bila hilo kufuli mvuke utasukuma kifuniko na kuchelewesha lengo la kuwivisha haraka!
...Hii Mindaba ya magamba ni mchina tu na hayo marangi yao hata uniwekee AK 47 kichwani bora unilipue lakini siyavai ng'o!
siku hizi hata kukarobishana imekua ni UTANI