JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 705
- 1,228
Tujenge utamaduni wa kujaribu teknolojia mpya, hii inatusaidia kufahamu mapema namna unavyoweza kufaidika nayo na vile unavyoweza kuitumia katika sehemu mbalimbali na kuboresha huduma au kazi yako. Kwa sasa habari ya mjini ni Ask Viamo Anything ( AVA) ambayo ni AI ya sauti.
Teknolojia ya AI inazidi kukua, na si kwa zile zinazotumia maandishi tu bali kuna hii ya sauti kwa kupiga simu, na ni wakati wetu kuikumbatia kwa vitendo kwa kuitumia.
Badala ya kuishia kwenye maandishi pekee, tutumie AVA kupiga simu, kuzungumza moja kwa moja na kuongeza maarifa katika mambo tofauti tofauti duniani.
Wewe tayari umeshaongea na AVA? Tupe mrejesh wako....
Ili kuongea na AVA ...

- Piga simu namba 0901760321
- Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.
- Chagua 1 - AVA kupata huduma ya AVA.
- Kisha unaweza kufuata maelekezo ili kuzungumza na AVA.