Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Hata iweje lazma atubu dhambi zke yeye ni mkatoliki anajua toba ni nini,kwahiyo atatubu tu kwa haya matendo yke maovu lazma atubuWito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Kwa maovu aliyoyafanya tena ndani ya muda mfupi lazima ana hofu kubwa sana.Hata iweje lazma atubu dhambi zke yeye ni mkatoliki anajua toba ni nini,kwahiyo atatubu tu kwa haya matendo yke maovu lazma atubu
Akatubu Kwa kosa lipi alilofanya linalohitaji toba?Wito umekwishatolewa na viongozi wakubwa wa kidini kumtaka Rais aende akatubu, na mara tu kauli hiyo ilipotolewa wapambe wa Rais walilipuka kwa hasira na hamaki kuipinga kauli hiyo ili kumlinda Rais asitubu. Mpaka sasa Rais hajajitokeza hadharani na kutubu.
Pasipo kuweka uchabiki katika hili, embu tujiulize haya maswali.
1/Kwanini Rais anaogopa kutubu?
2/Kuna kosa kumwambia Rais atubu?
3/Kuna hasara gani kama Rais ataamua kutubu?
4/Nini faida ya Toba kwa nchi ikiwa Rais atatubu kwa makosa yake au makosa ya watendaji wake?
Maneno yako machache lakini yamebeba hisia kali na ujumbe mzito.Nikimuona Lissu alivyolala kitandani kweli Nabaki natokwa na machozi kweli mtu kutofautiana mawazo ndo umfanye vile
Umenena vema na kwa hekimaNikimuona Lissu alivyolala kitandani kweli Nabaki natokwa na machozi kweli mtu kutofautiana mawazo ndo umfanye vile
Kumbe unajua akuna binadamu mkamilifu..sasa kwanini mnakataa kutubu?Wewe ulishatubu?usimuonyeshee mwenzio kidole wakati hakuna mwanadamu aliyemkamilifu
Duuh! Mkuu kila neno uliloandika hapa ni madini tupu. H. Polepole akisoma hapa uzee wake utazidi kuongezeka.Faida ya kutubu ni kubwa kuliko ujeuri,maovu mengi yametendeka chini ya uongozi wake,maisha ni magumu na mbele ni giza nene.Alafu nashangaa hvi unaendeshaje nchi kubwa kama hii kwa kucopy na kupaste kwa kagame anayeongoza mkoa????Kiongoz huna priority, ni maajabu sana