Tafakari... kulikoni ? - what's cooking...connect the dots | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafakari... kulikoni ? - what's cooking...connect the dots

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mag3, Nov 11, 2009.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  CCM is dying but CCM, like a cat, has more lives than one. Suddenly, somehow things begin to happen and men go at work ! Chadema has to tread very very carefully and take appropriate actions without delay bearing in mind;

  • The unholy alliance between CUF and CCM
  • Who needs the other and why ?
  • What are their common interests ?
  • Who is their common nemesis ?
  • I can smell something very fishy and very wrong here, how about you ?
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ccm na CUF kule visiwani have one thing in common

  NATIONAL INTEREST ya visiwa vyao...wanaja in the next 5 to 10 yrs the so called muungano utakuwa ushakwisha au utakuwa hauna nguvu kama ulivyo sasa na kubwa zaidi in the next 20 yrs hautokwepo kabisaa enzi hizo a barrel of oil itakuwa ni $200

  in short wote hawautaki Muungano sema nyie watu wa bara ndio mnaoungangania

  ohh i dont see anything wrong wakiamua kudeclare Independence from Mafisadi wa Tanganyika
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  "Wote hawautaki" halafu "nyie watu wa bara ndio mnaoungangania" bona hapo siku somi mkuu? Unapo sema wote hawautaki I'm assuming it's the two paties involved which is Tanganyika & Zanzibar then you come to say Tanganyika "mnaoungangania" hauoni hapo kuna ka contradiction? Au?
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wote hawautaki kwa maana CUF na CCM znz na common enemy wao ni watawala wa bara ambao if anything ndio wanaoungangania huo muunganio

  tafuta kitabu cha ABOUD JUMBE kinachoitwa PARTNERSHIP utaelewa nina maana gani


  ninaposema WaTanganyika nina maana watu wa Tanzania Bara na wasio utaka huu muungano wenu ni watu wa Unguja na Pemba

  ushanpata hapo?
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Lakini kama wote hawautaki huu muungano kwa nini wasiweke madhumuni public na kudemand uhuru publically? Bado sielewi ni kwa vipi kama kweli wana nia ya kujitenga washindwe kufanya hivyo au at least kucome put in the open na kusema sisi CUF na CCM Z'bar tumeuchoka huu muungano na hatuutaki.

  BTW nita kitafuta hicho kitabu.
   
 6. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Nimesikia tetesi kuwa kama JK anabwaga manyanga 2010 basi chaguo muafaka (CCM na CUF) ni Profesa Ibrahimu Lipumba. What interests do CCM and CUF have in common huku bara ? Kwa nini CCM na CUF kwa pamoja hawafurahii hatua za Chadema kuwachukulia hatua wakorofi ndani yake ? Je hao wavuja siri za Chadema wanazipeleka kwa nani ?
  Kama kuna wakati CCM inahitaji msaada wa CUF, ni sasa - kuivuruga Chadema.
   
 7. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahaaa....
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwanza unajua sana "kutabiri" nafikiri unatumia maono kutoka..lol acha kupotosha watu...
  Lakini uko terrified kwakuwa chadema chama chako iko taabani
  unasahau kwamba tatizo ni "kihiyo" wenu mbowe
  unaunganisha CUF na CCM..something i dont think it can happeni...defects wengi kutoka CCM ikiwa itatokea wataenda huko kwenye chama chako kwasababu zao ambazo ..dots zinaonyesha zinakoelekea..
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  porojo tu....let's wait and see
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  I would not call Mag3 mpiga porojo. No way no time!
   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  I never trusted this guy Maalim Seif...
   
 12. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkandara,
  Naheshimu sana mchango wako,infact ni miongoni mwa wachingiaji ambao mko huru kutoa mawazo yenu na ni yenye tija kwa mustakhabari wa Taifa letu. Huyu Seif Shariff ndiyo mtu pekee kwa upande wa CUF anayeweza kufikisha ujumbe na CCM wakaelewa.
  Kumbuka kuwa huyu alikuwa mjumbe wa vikao vya juu vya CCM na amelelewa ndani ya mfumo wa chama hicho.Anawafahamu viongozi wote wa CCM na wenye ushawishi mkubwa.Hivyo anajua vyema udhaifu wa mfumo wa chama hicho na anajua kutumia fursa zinapojitokeza.Amejitokeza sasa hivi kwa sababu anajua CCM Zanzibar hairidhiki namna maslahi ya Zanzibar yanavyoshughulikiwa na uongozi wa awamu ya Nne.
   
 13. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tatizo ninani amfunge paka kengele?
   
 14. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Heri wewe umeona. RA ameunganisha CCM na CUF huko ZNZ. CUF wameahidiwa mambo na Karume. Lakini pia wameahidiwa ufalme wa bara, kwa maana ya kuongezewa nguvu ili kuifunika CHADEMA.

  Ni sehemu ya mikakati ya RA baada ya kutajwa kwenye list of shame. Aliapa kuimaliza CHADEMA kisiasa.

  CHADEMA nayo imeingia mtegoni, vuta nikuvute inayoendelea ndani yao ni sehemu ya equation hii. Pengine maamuzi ya Slaa yanaweza yakawaokoa.

  Jiulize; kuna ndoa gani kati ya CUF na NHC miezi ya hivi karibuni?

  PM
   
 15. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Hayawi hayawi, sasa yamekuwa - oneni wenyewe ! Kwa mbali nauona mwafaka kati ya CUF na CCM na kabla ya uchaguzi natabiri alliance za ajabu ajabu. Chadema watazidi kutibuana lakini vumbi litakapotulia kitazidi kuimarika na kuwa kimbilio la wapenda maendeleo na watetezi wa maslahi ya taifa. CCM watazidi kuumbuana na mwisho wa siku kitakachowaokoa maisha ni mashine ya kupumulia itakayopatikana CUF. CUF wako njia panda na ama kulamba kiatu cha baniani au kubwaga manyanga bara na kubaki kisiwani. Kama fisi, turufu ya CUF bara ni mkono wa binadamu, je utadondoka ? - binadamu mwenyewe ni Chadema.

  Ndoto ya CUF - Raisi Lipumba, Makamu wa Raisi CCM, Waziri Mkuu Zitto na Raisi Zanzibar Shariff na Waziri Kiongozi CCM. Hii listi inakubalika ndani ya CCM kwa asilimia kubwa tu na mawaziri wengi bara watatoka CCM. Huu ndio mkakati wa CCM katika kuikabili TSUNAMI ya Chadema na fadhila kwa CUF kwa kuinusuru ikiwa hoi bin taaban ! Wenye kuunganisha dots watafanya hivyo na wale wanaochapa usingizi wasubiri 2015 watakapoamka na kutahamaki, loo tumeliwa. Ukisikia minong'ono ya serikali ya mseto jua moja tu, ukiona vyaelea vimeundwa yakhe - yangu macho !
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unatabiri ukiwa na mawazo ya ki-waraka waraka kwenye kichwa chako..basi unakosa akili unaunganisha dots..kueleza hisia zako za kidini (kikristo).na hofu yako hasa iko hapa popular muslim political leaders ..basi raha tupu..endelea kutabiri..agh!
   
 17. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Wow, mchungaji mtabiri - kazi kweli kweli.
   
 18. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Spinning ya hali ya juu
   
 19. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Namependa spinning yako. LOL
   
Loading...