Inategemea maana unapomtongoza mtu anakua hakujui wala humjui ( kiundani), ila mda unavyokwenda mazoea yanajengeka utofauti unaonekana kati yangu na wengine( ndo ninavyohisi ukiwa na mpenzi) kwamba mimi ni wa pekee kwake kwa matendo na fikra!
Usiusemee moyo,swali lingekuwa ni kitu gani kilichofanya umpende mpenzi wako? Ila kusema ni kitu gani alichonipendea ukweli anaujua yeye hayo mengine sijui handsome or unajali ni mbwewe sitarajii aseme wewe una sura mbaya au haujali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.