Tafakari..chukua hatua!

oooh sikuwa nimeona hilo neno MWALIMU..kumbe gfsonwin ni mwalimu!??
Ila siku hizi watoto hawaendi tena TUITION zinaitwa TUISHIENI...

ndio mimi ni mwl wa chem na bios na huwa nakamua hata physics. nafundisha vijana wakubwa lkn so kama una kijana wa advance nitafute kwa tuition utanipata.
 
Ooooh nimikuelewa!

Dah nimechelewa kulifahamu hili mwalimu wangu...nina dogo langu linapiga PCM aisee ila ndo yuko form six sasa...

daah! aisee umeniumiza roho sana kumbe nimekosa shavu mchana kweupe. anywayz haikuwa riziki yangu basi tena. ningekukamuaje? manake lazima bei yako ingekuwa juu kidogo
 
Je kama una bar yako....!!
Ukitoka kazini unaenda kunywa/kununua bia kwenye bar yako...!!!
Hapo ntakuwa tajiri sana eeeeeh....?
kaazi kweeeeeeeli kwelii here its where you belongs friend zile zilikuwa mbwembwe tu kwa Yesu hakuna mbwembwe wewe.rember sometimes you ill be marked/unmarked by your own words
 
mimi soon nikifika home after work ni kuangalia bustani nakulisha kuku wangu nakuwasafishia banda lao vizuri will it make me rich some days to come?
 
kaazi kweeeeeeeli kwelii here its where you belongs friend zile zilikuwa mbwembwe tu kwa Yesu hakuna mbwembwe wewe.rember sometimes you ill be marked/unmarked by your own words

Hahahhahaha unanifuata futa utafikiri mimi mmeo au wewe mke wangu.....!!!
Unachokitafuta utakipata.....!!
Huta kaa unitambue nilivyo daima....!!!
 
Hahahhahaha unanifuata futa utafikiri mimi mmeo au wewe mke wangu.....!!!
Unachokitafuta utakipata.....!!
Huta kaa unitambue nilivyo daima....!!!

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
 
Me nataka kuwa fogo kupita bakhressa! Naombeni maushauri jamani. What should i do and what shouldn't do please.
 
Me nataka kuwa fogo kupita bakhressa! Naombeni maushauri jamani. What should i do and what shouldn't do please.

Never spend more than th allocated hrs at work...
Kama umeajiriwa fanya kazi yako kama sehemu ya kukuongezea mtaji sio bed n bread yako...
 
Back
Top Bottom