Hiyo ipo ila haileti picha nzuri japo hata mwanamke ni binadamu na pia ana hisia zake lakini hapo inatakiwa awe na usubiri katika kufikia hatua hiyo ya kumweleza ya moyoni. Wanaume wengi hususa huku Tz wakiambiwa hayo humshusha hadhi huyo mwanamke na muda mwingine huanza kumwona kama hajatulia vile!!
Kila mwanaume rijali ni risk taker, kwa sisi tuliokulia ktk miji mikubwa tunayaona haya kila siku ingawaje kwenye macho ya watu tunaweza kujifanya kama tupo kinyume.Dah,guy you are a risk taker.
Kila mwanaume rijali ni risk taker, kwa sisi tuliokulia ktk miji mikubwa tunayaona haya kila siku ingawaje kwenye macho ya watu tunaweza kujifanya kama tupo kinyume.
Kama ingekuwa hakuna risk taking wale kinadada pale Kimboka, Joli club, Kinondoni, Sun siro na Shekilango yake na pale barabarani karibu na nyumbani kwa muheshimiwa PM wetu, wateja wao ni akina nani?
P.Lady naunga mkono hoja 100%.
anaweza akakusumbua
sana na akawa mgawaji mzuri
so ugawaji ni hulka ya mtu bana!!
vijana mnajidanganya sana.
wadada wanajua kabisa kwamba akikupa fasta utamdharau, so anachofanya anakunyima wewe hata mwaka lakini wengine pembeni anawapa kama kawa, ha ha ha unadhani wanawake hawapendi sex eh stop being stupid.
ladies are smarter than u think, utadhani huyu ndo mgumu kuvua chupi kumbi ni wewe tu ndo unayenyimwa.
CHA MSINGI, angalia maongezi yake na mwenendo wake na sio eti kavua chupi fasta, je kama alikua amezidiwa na nyege siku hiyo? kuvua chupi fasta sio kwamba ni mapepe na kukusumbua mda mrefu sio kwamba ni malaya.
watu walioa mabikira then later wakaja kuwafumania na minjemba nje na wapo walioa mapepe na wakatulia kwenye ndoa zao maana walishachoka kuona midushelele ya kila namna.
wee unatania....no nation has ever benefited from prolonged warfare....kitu inatakiwa iwe faster faster....ladiez do give up easily and we will like u more
Aaaah wapi,kama sio mgawaji uta muona tu aisee.
Haiwezekani siku hiyo hiyo una mvua kyupi afu ukasema
"huyu anafaa kua mke",...labda kama unakunywa maji kila siku kwenye
mitungi tofauti sawa. Ila kama unategemea mtu kama huyo awe mke wako,jiandae kulea
watoto wa wanaume wenzio.
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda saaaaana. Ina maana tofauti sana.
Huyu mtu alikua kwenye radar ya jamaa (alikua haja mtamkia wala kuchat nae).
Siku alipo anza kuchat nae,kesho yake walikutana na jamaa akaonja.
So sad,hata kama ulikua wa thamani na una jiheshimu,kuachia chup** mapema
kuna kufanya uonekane mtu wa aina nyingine kabisa.
Please,usije kuni kubali haraka,nisumbue sumbue sana tu.
like x 1000. hapo umemaliza kila kitu, waache wanaokariri mapenz, wanaishiaga kulialia tu.Sidhani kama kuna formula hapo maana wanaume hamtabiriki unaweza kumpa within 2 days akagonga na akatulia hapo hapo na mwingine ukamzungusha weee ukithubutu kumpa tu anagonga na kusepa zake so mapenzi hayana formula!
aP.Lady naunga mkono hoja 100%.
Kama anakupa fasta fasta kwanini usihisi ni mgawaji wa "fasta fasta" kwa kila mtu?
yaani wewe nilikuwa naitafuta comment yako. lol
mi tunamalizana siku hiyo hiyo .hutaki unaacha,kwanini kumaliziana vocha bwanaaa!