Tafadhalini nisaidieni kwenye simu ya HTC TITAN

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wakuu mambo vp? Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa jinsi ya kubadilisha lugha iwe kiingereza kwenye simu ya HTC TITAN nimejitahidi lakini nimeshindwa kwa lugha iliyomo sijui ni Kiitaliano,Kifaransa au Kijerumani.nisaidieni hata jinsi ya kuiset kwenye factory default.Natanguliza shukrani.
 
Umejaribu ku google?
Mara nyingi hizi HTC huwa hazina option ya kubadili lugha, option pekee ni kubadili ROM yake na kuweka ya kiingereza.
Ni shughuli kidogo na inataka uwe mtundu kidogo wa mambo haya utaweza.
Jaribu kugoogle kwa sana ukishindwa wapelekee mafundi simu sapna
 
Tafadhali bos naomba unielekeze jinsi ya kubadilisha hiyo ROM nikishindwa ndo niwaone hao mafundi wa SAPNA na kwa makisio tu hao mafundi wa sapna wanaweza wakanigharimu sh ngapi?
 
Wakuu mambo vp? Tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa jinsi ya kubadilisha lugha iwe kiingereza kwenye simu ya HTC TITAN nimejitahidi lakini nimeshindwa kwa lugha iliyomo sijui ni Kiitaliano,Kifaransa au Kijerumani.nisaidieni hata jinsi ya kuiset kwenye factory default.Natanguliza shukrani.

hiyo HTC inatumia Windows au Android?
Jaribu hivi
Go to Windows/Application-Settings-Locale&Text/Language and Keyboard
Note: Bold for Windows na Underline for Android
 
Mkuu kufika hapo ndo issue kwa sababu lugha iliyomo ndo inanizingua me nilidhani kama kuna namna ya kubonyeza vitufe ili nifanye hard reset.
 
hyo ni windows phone..jaribu kwenda youtube. Na usearch how to change language in htc titan,au nenda page ya htc utafute manuals..try to conslult google n' youtube!
 
Simu zote zina 'option' ya kubadilisha lugha, kwa hiyo tatizo sio rom. Kama utapata mtu anayelewa hiyo lugha anaweza kwenda kwenye phone settings na kubadilisha lugha kati ya hizo ziliziooroseshwa.
 
Simu zote zina 'option' ya kubadilisha lugha, kwa hiyo tatizo sio rom. Kama utapata mtu anayelewa hiyo lugha anaweza kwenda kwenye phone settings na kubadilisha lugha kati ya hizo ziliziooroseshwa.

Mkuu I'm talking through experience, I have been with this kind of phone before
There is nothing he can do more than flashing the stranger ROM with the english one, nothing....

Here are some tips from Guru, some one asked about the same thing, ingawa yeye ni HTC touch 2. But this applied to all HTC windows mobile

"Santosh Parab, on 30 March 2010
- 06:03 AM, said:
Hi,
I have just purchased htc touch 2
smartphone from spain. and it has
spanish language in it. Can anybody
please tell me what shall i do to change
the language of this wwindow mobile."
MAJIBU:
Hi- welcome to Smartphone Gurus
What you want to do is not a simple
task, and will invalidate any warranty
that came with the phone.
Installing another language means you
have to completely reinstall an
Operating System in that language.
Most devices are locked to the
language they are supplied with, so
you haev to do some tweaking first, by
updating the BIOS to allow 'foreign'
ROMs to be loaded.
In this case, you need to install a
program called HardSPL which you can
find on XDA Developers but mkae sure
you fully read and understand the
instructions before proceeding.
Once that's loaded you can then look
for a compatible English ROM (which
will be called a WWE version). There are
not many around as yet, but there may
be something in the XDA Devs topic.

Namshauri mkuu google "how to change language in htc titan" kisha tembelea link moja baada ya nyingine.

Site maarufu iliyobobea kwa windows mobile kama htc tembelea hizi na usearch tatizo lako

www.smartphonegurus.com
Na
forum.xda-developers.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom