Siku huyu galasa akiwa rais naukana uraia wa Tz/Ndugu, kama mtoa mada ulitaka kutest nani atakuwa rais ajaye, ni dhahiri kwamba kati ya wote wanaotajwatajwa sasa Lowassa, Ngeleja, Membe, Wassira, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Mwandosya, Nchimbi, Dr Mwinyi, Shamsi, Pinda, Dr Shein, Dr Migiro, Dr Slaa, Zitto, mchuano mkali utakuwa kati ya Ngeleja, Lowassa na Dr Mwinyi.
Ingawa ukizamia vigezo mbalimbali, Ngeleja atashinda kwa kishindo sana.
" Akiingia madarakani anaweza kutumia siku tano za kazi kwenda kuomba ushauri kwa Marais waliomtangulia; Jumatatu atakwenda kwa Dr. Salmin Amour, Jumanne kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Jumatano kwa Ben Mkapa, Alhamisi kwa Dr. Aman Karume na Ijumaa atamalizia kwa Jakaya Kikwete.
Naam, inahusu kukua kwa demokrasia na umuhimu wa viongozi kuwa na utayari wa kustaafu uongozi na kuwapisha wengine. Kwamba wakabaki kuwa washauri.
Ona kwa Mugabe na Zimbabwe ya sasa, ni ukweli, kuwa Zimbabwe ya sasa, mbali ya Mugabe, haina Mzimbabwe mwingine yeyote mwenye uzoefu wa kuongoza dola.
Rais ajaye wa Zimbabwe akiingia madarakani baada ya Mugabe kufia madarakani, basi, hatakuwa na uzoefu wa kuongoza dola, na atakapohitaji ushauri, itabidi apande ndege kwenda nchi nyingine, na akija Tanzania atakutana na Marais wastaafu wasiopungua sita!
Na 'Typical Africanity' ni nini?
Ndugu zangu,
Profesa Ayite anasema; " Ni hali ya kiongozi wa Kiafrika kuhofia kuandaa mrithi kwa hofu ya kufunikwa kisiasa". - Prof Ayite.
Hivyo basi, tunaona hapa, kuwa dhana ya balance of power inakosa maana. Na hili ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi za Kiafrika. Si kwenye uongozi wa nchi tu, hata kwenye uongozi wa vyama na taasisi.
Ona Mandela, katika uhai wake , mbali ya yeye kustaafu Urais, ameshuhudia Rais mmoja mstaafu kutoka Chama chake cha ANC. Mugabe hatarajii kuitwa ' Rais Mstaafu' maana atafia madarakani.
Kwamba tangu Aprili mwaka 1980 unaongoza nchi bila kumshuhudia Rais mwingine akiongoza nchi hiyo hiyo, nacho ni kipimo cha udhaifu wa uongozi.
Maana, kwa Zimbabwe, kuna waliozaliwa na kumkuta Mugabe madarakani, nao wamepata watoto, na watoto nao wamepata watoto na kumkukuta Mugabe madarakani.
Ni ukweli, Zimbabwe ya sasa, mbali ya Mugabe, haina Mzimbabwe mwingine yeyote mwenye uzoefu wa kuongoza dola.Typical Africanity!
Inasikitisha.
Maggid Mjengwa.
Iringa.
Ndugu, kama mtoa mada ulitaka kutest nani atakuwa rais ajaye, ni dhahiri kwamba kati ya wote wanaotajwatajwa sasa Lowassa, Ngeleja, Membe, Wassira, Sitta, Mwakyembe, Magufuli, Mwandosya, Nchimbi, Dr Mwinyi, Shamsi, Pinda, Dr Shein, Dr Migiro, Dr Slaa, Zitto, mchuano mkali utakuwa kati ya Ngeleja, Lowassa na Dr Mwinyi.
Ingawa ukizamia vigezo mbalimbali, Ngeleja atashinda kwa kishindo sana.
Waafrika tu wanafiki sana na hatusemi kile tunachokiamini... ni unafiki unafiki mpaka milele. Kikwete alijiandaa miaka kumi mbona ona sasa nchi inavyokwenda kombo...." Akiingia madarakani anaweza kutumia siku tano za kazi kwenda kuomba ushauri kwa Marais waliomtangulia; Jumatatu atakwenda kwa Dr. Salmin Amour, Jumanne kwa Mzee Ali Hassan Mwinyi, Jumatano kwa Ben Mkapa, Alhamisi kwa Dr. Aman Karume na Ijumaa atamalizia kwa Jakaya Kikwete.
Naam, inahusu kukua kwa demokrasia na umuhimu wa viongozi kuwa na utayari wa kustaafu uongozi na kuwapisha wengine. Kwamba wakabaki kuwa washauri.
Ona kwa Mugabe na Zimbabwe ya sasa, ni ukweli, kuwa Zimbabwe ya sasa, mbali ya Mugabe, haina Mzimbabwe mwingine yeyote mwenye uzoefu wa kuongoza dola.
Rais ajaye wa Zimbabwe akiingia madarakani baada ya Mugabe kufia madarakani, basi, hatakuwa na uzoefu wa kuongoza dola, na atakapohitaji ushauri, itabidi apande ndege kwenda nchi nyingine, na akija Tanzania atakutana na Marais wastaafu wasiopungua sita!
Na 'Typical Africanity' ni nini?
Ndugu zangu,
Profesa Ayite anasema; " Ni hali ya kiongozi wa Kiafrika kuhofia kuandaa mrithi kwa hofu ya kufunikwa kisiasa". - Prof Ayite.
Hivyo basi, tunaona hapa, kuwa dhana ya balance of power inakosa maana. Na hili ni tatizo kubwa linalozikumba nchi nyingi za Kiafrika. Si kwenye uongozi wa nchi tu, hata kwenye uongozi wa vyama na taasisi.
Ona Mandela, katika uhai wake , mbali ya yeye kustaafu Urais, ameshuhudia Rais mmoja mstaafu kutoka Chama chake cha ANC. Mugabe hatarajii kuitwa ' Rais Mstaafu' maana atafia madarakani.
Kwamba tangu Aprili mwaka 1980 unaongoza nchi bila kumshuhudia Rais mwingine akiongoza nchi hiyo hiyo, nacho ni kipimo cha udhaifu wa uongozi.
Maana, kwa Zimbabwe, kuna waliozaliwa na kumkuta Mugabe madarakani, nao wamepata watoto, na watoto nao wamepata watoto na kumkukuta Mugabe madarakani.
Ni ukweli, Zimbabwe ya sasa, mbali ya Mugabe, haina Mzimbabwe mwingine yeyote mwenye uzoefu wa kuongoza dola.Typical Africanity!
Inasikitisha.
Maggid Mjengwa.
Iringa.
Hata Malkia wa UK mpaka leo bado ni malkia mbona hawamlalamikii? kabla sijazaliwa mpaka namaliza shahada ya pili kingunge bado alikuwa waziri, JKN alikuwa Rais kwa miaka 20 plus, JMK amekuwa kiongozi wa CCM kabla sijazaliwa mpaka leo... we can read u between the lines Majid...tatizo lenu mko predictable sana... utakubaliana nami kuwa Ghadaffi aliipaisha Libya na kuwa imara kiuchumi kimaendeleo, wananchi walikuwa wanapata huduma muhimu za kijamii, rasilimali zao ziliwanufaisha vilivyo... ona sasa utawala holela aka demokrasia unavyo ididimiza Libya iliyokuwa inatoa misaada hata kwa marekani... inawezekana mmesoma na kusomeshwa kuwa projected ... hamna maono ... kweli wasomi ndo vibaraka wa wazungu .... RIP mashujaa wetu mliotangulia mbele ya haki ...