Tafadhali soma hapa.....

Hapa sijui unamzungumzia Yesu gani anayetumikiwa na huyu mwizi wa wake za watu.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha!! Babu Asprin umeniacha hoi! Kidonda kitafumuka bure! !!!

Ameen! Ameen! AMINAAAAA!!!!!
Dah! Bahati mbaya hiki kimeo hakina kitufe cha like ningekupa like mia.

Kicheko chako ni furaha yangu na kilio kwa bakteria. Endelea kucheka bakteria wacheze mbali na kidonda chako kitakatifu kisicho na hatia.
 
Last edited by a moderator:
Hapa sijui unamzungumzia Yesu gani anayetumikiwa na huyu mwizi wa wake za watu.

ha! Amebadilika sasahivi ya kale yamepita tazama sasa ni mapya,ngoja nimuite... Mentor njoo pande hizi umthibitishie babu kwamba sasahivi wewe umeokoka na hauna tena mambo mabaya.
 
Last edited by a moderator:
Kicheko chako ni furaha yangu na kilio kwa bakteria. Endelea kucheka bakteria wacheze mbali na kidonda chako kitakatifu kisicho na hatia.

Asante sana yaani leo umefanya siku yangu iwe mwaaa!!
Kidonda kisicho na hatia? Hapa umeniacha njia panda,kumbe kuna vidonda vyenye hatia??
 
Tunafurahi unaendelea vizuri,i wish you a fast recovery ,get well soon
 
Asante sana yaani leo umefanya siku yangu iwe mwaaa!!
Kidonda kisicho na hatia? Hapa umeniacha njia panda,kumbe kuna vidonda vyenye hatia??

Hebu nambie kwa mfano umetiwa ngeu kwa ugomvi wa kufumaniwa na mme wa mtu. Hicho kidonda kitakuwa na baraka za Roho Mtakatifu?
 
God z greater kaka utapona tu na ukitoka tupe mrejesho.
 
Mungu atasimama upande wako mambo yataenda sawia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hebu nambie kwa mfano umetiwa ngeu kwa ugomvi wa kufumaniwa na mme wa mtu. Hicho kidonda kitakuwa na baraka za Roho Mtakatifu?

loh! Babu una hekima sana,sasa nimekuelewa
 
pole sana. ugua pole
 
Get well soon!:violin::violin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…