Mzee wa Kijiji, kama uko nje lini utarudi nyumbani uanzishe Chama tujiunge tuzunguke nchi nzima kukusanya wanachama na hatimaye ushike usukani wa nchi yetu? Kama uko hapa nyumbani jitokeze tukuunge mkono, Unastahili kabisa kuwa kiongozi wa nchi hii!
Mzee Mwanakijiji kwa hisani yako naomba niweke barua hii inayoisonda kidole makala yako:
Mkapa ana tatizo moja kubwa: Kwake yeye "being humble is equal to humiliation". ndio maana tangu kujikuta kwenye hii aibu, either anashindwa kujibu tuhuma au akijaribu kujibu anatanguliza kiburi.
Mkapa ushauri wangu wa bure huu hapa: Simama mbele ya umma sema i am sorry for what i did to you my fellow Tanzanians. Naombeni msamaha, tasahau yaliyopita tugange yajayo....Mimi ni binadamu na wala sio malaika. Naahidi kutumia muda wangu uliobaki hapa duniani kutoa ushauri na kumsaidia Rais aliyepo madarakani kuongoza kwa busara ili asije kuingia kwenye mtego nilionaswa....
Big NO.MMJ, heshima zako Mzee na nakuvulia kofia kwa article yako. Kila Jumatano miye hukimbilia kununua Mwanahalisi na Raia Mwema nikusome wewe la Lula wa Ndali. Hiyo statement ya Mkapa imejaa arrogance na dharau aliyokuwanayo huyu Mzee. Nadhani ni vya kuzaliwa pia! Nasikitika Mwalimu hakuliona hilo akabeba mbuzi kwenye gunia aliyekuja kumkana hata aliyembeba. Aibu!
Mzee wa Kijiji, kama uko nje lini utarudi nyumbani uanzishe Chama tujiunge tuzunguke nchi nzima kukusanya wanachama na hatimaye ushike usukani wa nchi yetu? Kama uko hapa nyumbani jitokeze tukuunge mkono, Unastahili kabisa kuwa kiongozi wa nchi hii!
MkuluBen ni kiburi, jeuri na too proud to bow down na kuomba msamaha, hivyo anadharau kelele zote zinazoelekezwa kwake kwa kisingizio kuwa ana 'just ignore them'. Kwa dharau zake, jeuri yeke, kiburi chake na pride yake, "Karma" itamshukia na kumwadhibu hapa hapa duniani siku yake ikifika.Huyu ni mwanahabari iliyegeuka kuwa mwanadiplomasia, katika kipindi chake chote cha miaka 10 ya utawala wake, hakuwahi kuzungumza na waandishi wa habari ana kwa ana kama ilivyoakifanya Nyerere, alipoulizwa kwa nini, alidai waandishi wetu are stupid!.Hakuwahi kufanya mahojiano yoyote ya man to man na redio au televisheni yoyote ya Tanzania, yeye ni CNN na BBC tuu. Nlibahatika kushuhudia mahojiano yake na Tim Sebastian, kwenye 'Hard Talk' kwa kweli alijidhalilisha jinsi alivyotaka kuleta ubabe ulioishia kwenye mahasira.Andiko la Shivji kuhusu Mkapa, limenigusa sana, na naamini pamoja na kiburi, na madharau yake, pia anaguswa moyoni na shutuma dhidi yake, na labda anatubu na kujuta kimoyo moyo ambapo Mungu amemsamehe, lakini sisi Watanzania bado hatujamsamee, ila akifuata ushauri wa Mwakijiji wa kunyamaza kimya kabisa, Watanzania tutatafsiri ni namna ya kuomba msamaha na tutamsamehe.
Simtetei Mkapa, wala siwezi kumtetea Mkapa kwa madudu yaliyofanyika katika kipindi chake!! Lakini ni vyema kusema kuwa Mkapa alikuwa shupavu, ni bahati mbaya tu kuwa alirithi nchi iliyokuwa imechoka isiyokusanya madeni, isiyokuwa na hadhi mbele ya mataifa mengine na iliyokuwa haina hata hifadhi ya fedha za kigeni. Alirithi nchi iliyokuwa imenajisiwa kwa uongozi mbayana kuchoka kabisa. Ilikuwa ni nchi ambayo haikusanyi kodi na iliyokuwa inashindwa kutawalika kiasi kwamba Baba wa taifa akalazimika kutoka kwenye kustaafu kwake na kurudi katika siasa za kuirudisha nchi katika mstari wa kutawalika!!! kwa kweli Mzee Mwinyi alikuwa ameshindwa kuitawala nchi hii ina kuigeuza kuwa kichwa cha Mwendawazimu, kiasi cha kufikirika kuwa mtu kama Augostine Mrema angeweza kutuongoza!!!
Watawala wa sasa wameturudisha alikoitoa nchi hii na mapungufu yao ya sasa tunayapeleka kwa Mzee Mkapa. Mbona Watanzania tu wepesi wa kusahau?????
Nawaambia tukidodosa aliyofanya Mzee Mwinyi wakati wa kipindi chake, tutagundua kuwa Mkapa alikuwa nafuu sana ila bahati mbaya watanzania tu wepesi wa kusahau.
Ikulu ya Mwinyi si kuwa kulianzishwa kampuni binafsi kama ANBEM bali kulikuwepo na biashara hata za dhahabu na watu walikuwa wanajua hata bei ya rais wetu!!!! Je wana JF nani anaweza kujitokeza na kusema anajua bei ya Mkapa???? hakika hakuna ila tumesahau nani alifuta Azimio la Arusha na kuanzisha Azimio la Zanzibar!! Jamani tusiwe wepesi wa kusahau wapi tulipo jikwaa na kuwa tunakumbuka tulipo angukia!!!
Usimwache na Mchungaji Kishoka na Jasusi, uje nao!twaja.. vyapikwa viko jikoni.. mambo ni kama "COPA cabana"..
Hayo ya ufisadi wakatu wa Mzee Ruhusa hayakuwa na impact za muda mrefu na alivyoondoka aliiacha nchi is still virgin, Lakini kaja Mkapa na mikataba ya kifisadi na muda mrefu kama madini ni mikataba ya miaka hamsini, IPTL miaka ishirini n.k. Na hata atakayekuja siyo rahisi kubadilisha hii mikatabaSimtetei Mkapa, wala siwezi kumtetea Mkapa kwa madudu yaliyofanyika katika kipindi chake!! Lakini ni vyema kusema kuwa Mkapa alikuwa shupavu, ni bahati mbaya tu kuwa alirithi nchi iliyokuwa imechoka isiyokusanya madeni, isiyokuwa na hadhi mbele ya mataifa mengine na iliyokuwa haina hata hifadhi ya fedha za kigeni. Alirithi nchi iliyokuwa imenajisiwa kwa uongozi mbayana kuchoka kabisa. Ilikuwa ni nchi ambayo haikusanyi kodi na iliyokuwa inashindwa kutawalika kiasi kwamba Baba wa taifa akalazimika kutoka kwenye kustaafu kwake na kurudi katika siasa za kuirudisha nchi katika mstari wa kutawalika!!! kwa kweli Mzee Mwinyi alikuwa ameshindwa kuitawala nchi hii ina kuigeuza kuwa kichwa cha Mwendawazimu, kiasi cha kufikirika kuwa mtu kama Augostine Mrema angeweza kutuongoza!!!
Watawala wa sasa wameturudisha alikoitoa nchi hii na mapungufu yao ya sasa tunayapeleka kwa Mzee Mkapa. Mbona Watanzania tu wepesi wa kusahau?????
Nawaambia tukidodosa aliyofanya Mzee Mwinyi wakati wa kipindi chake, tutagundua kuwa Mkapa alikuwa nafuu sana ila bahati mbaya watanzania tu wepesi wa kusahau.
Ikulu ya Mwinyi si kuwa kulianzishwa kampuni binafsi kama ANBEM bali kulikuwepo na biashara hata za dhahabu na watu walikuwa wanajua hata bei ya rais wetu!!!! Je wana JF nani anaweza kujitokeza na kusema anajua bei ya Mkapa???? hakika hakuna ila tumesahau nani alifuta Azimio la Arusha na kuanzisha Azimio la Zanzibar!! Jamani tusiwe wepesi wa kusahau wapi tulipo jikwaa na kuwa tunakumbuka tulipo angukia!!!
Hayo ya ufisadi wakatu wa Mzee Ruhusa hayakuwa na impact za muda mrefu na alivyoondoka aliiacha nchi is still virgin, Lakini kaja Mkapa na mikataba ya kifisadi na muda mrefu kama madini ni mikataba ya miaka hamsini, IPTL miaka ishirini n.k. Na hata atakayekuja siyo rahisi kubadilisha hii mikataba
Kwa waafrika ni aibu baba hata kama ana makosa kiasi gani, kuacha nyumba yake isambaratike. Anatakiwa asimame na kutuoa mwelekeo maana ni kweli anajutia aliyoyafanya ingawa ni kwa sirisiri. Ingekuwa na msaada mkubwa kwake kama angeweza kupata fursa ya kutuchukulia watanzania kama ni watu tulio karibu naye kwa kutuface na kuondoa hili jambo linalogoma kutoka mbele yake. dawa ya tatizo sio kukaa kimya, ni kulikabili.Ben ni kiburi, jeuri na too proud to bow down na kuomba msamaha, hivyo anadharau kelele zote zinazoelekezwa kwake kwa kisingizio kuwa ana 'just ignore them'. Kwa dharau zake, jeuri yeke, kiburi chake na pride yake, "Karma" itamshukia na kumwadhibu hapa hapa duniani siku yake ikifika.Huyu ni mwanahabari iliyegeuka kuwa mwanadiplomasia, katika kipindi chake chote cha miaka 10 ya utawala wake, hakuwahi kuzungumza na waandishi wa habari ana kwa ana kama ilivyoakifanya Nyerere, alipoulizwa kwa nini, alidai waandishi wetu are stupid!.Hakuwahi kufanya mahojiano yoyote ya man to man na redio au televisheni yoyote ya Tanzania, yeye ni CNN na BBC tuu. Nlibahatika kushuhudia mahojiano yake na Tim Sebastian, kwenye 'Hard Talk' kwa kweli alijidhalilisha jinsi alivyotaka kuleta ubabe ulioishia kwenye mahasira.Andiko la Shivji kuhusu Mkapa, limenigusa sana, na naamini pamoja na kiburi, na madharau yake, pia anaguswa moyoni na shutuma dhidi yake, na labda anatubu na kujuta kimoyo moyo ambapo Mungu amemsamehe, lakini sisi Watanzania bado hatujamsamee, ila akifuata ushauri wa Mwakijiji wa kunyamaza kimya kabisa, Watanzania tutatafsiri ni namna ya kuomba msamaha na tutamsamehe.
Ben anastahili kubeba mabaya yote yaliyotendeka katika kipindi chake !! hatuwezi kumtetea kwa hili, lakini mfumo na matatizo yaliyotokea wakati wa kipindi cha mzee ruksa ni lazima yabebwe na mzee mwinyi mwenyewe. Mimi naona tatizo kubwa linalomkabili Mkapa ni kushindwa kujitetea na kusema ukweli wote. Mwinyi na Azimio la Zanzibar ndilo lilikuwa tatizo kubwa maana ruksa ilitolewa kwa kila kitu. Mkapa alinyanyua nchi hii bwana.Mi naona President Mkapa anashambuliwa sana baada ya kutoka madarakani kwa sababu hakuwa na lugha laini maana wabongo tunapenda sana kubembelezwa.
Alishasema mazuri na mabaya yote anayapokea kwa hiyo anatambua kuna vitu vilienda vizuri na kuna vitu havikwenda sawasawa!
But jamaaa alijaribu kufanya kile alichoona anaweza na kuna kipindi mambo yalionekana, alidhibiti mfumuko wa bei na hata kauchumi kalianza kupaaa!
Hayo mambo ya ufisadi na uhalifu uliyoyataja kuna vyombo vinavyohusika ku deal nayo, issue viwajibike tuu kuutokomeza kabisa sasa huwezi kumlaumu yeye moja kwa moja
Kauli za kilevi mtaacha lini?Mzee wa Kijiji, kama uko nje lini utarudi nyumbani uanzishe Chama tujiunge tuzunguke nchi nzima kukusanya wanachama na hatimaye ushike usukani wa nchi yetu? Kama uko hapa nyumbani jitokeze tukuunge mkono, Unastahili kabisa kuwa kiongozi wa nchi hii!
Kati ya Mwinyi, Mkapa na huyu wa sasa nani anaonekana kuwa angalau kuna kitu amewafanyia WaTZ??
Hakuna lolote la kujivunia kwa Mwinyi!! hata mfumo wa vyama vingi hakuutaka maana serikali yake iliendesha kampeni kubwa kuupinga, Thanks to Mwl. Nyerere ambaye alitetea hata akalazimisha 15% ya Watanzania waliotaka mfumo huo wameshinda.
Mkapa alidhibiti mfumko wa bei, aliifanya serikali ionekane inafanya kazi, alikusanya kodi na hata kujenga sura ya Nchi kimataifa! Alijenga barabara nyingi, alijenga Uwanja wa Taifa nk
Huyu wa sasa mpaka sasa hajafanya chochote zaidi ya kuzunguka dunia kama Vasco dagama. Ngoja tumsubiri tuone