Tafadhali nisubiri

Tafadhali nisubiri

Subira jaribu kuivuta leo ooh subira jaribu kuivutaeeee
Subira jaribu kuivuta leooo subira jaribu kuivuta leoooooooo x2

Just signing!
 
We endelea kusubiri sie tunaendelea kukuchapia tu, baada ya hiyo miaka 2 atakua kajichokea atakuja tu.
 
As long as hiyo subira ipo sambasamba na kupewa P mara mojamoja then haina shida
# Mtazamo wa ujanani#
 
ki kweli napenda uwe na furaha.. ctak kukuumiza na wala cpend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu.. nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe..
ukiwa nami kwa sasa utaumia tu,.nipo busy sana cna nafasi ya kukupet pet.. plsss. kama wanipenda kwa dhat nisubiri tafadhali

Nitasubiri......
usilie mama nitakuona tena
nitasubiri.......
usichoke mama nitakuona tena

hapa naimba tu
 
ki kweli napenda uwe na furaha.. ctak kukuumiza na wala cpend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu.. nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe..
ukiwa nami kwa sasa utaumia tu,.nipo busy sana cna nafasi ya kukupet pet.. plsss. kama wanipenda kwa dhat nisubiri tafadhali
Yeye asubiri wengine wanajilia....lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom