Tafadhali mwenye kujua namba hii.

Tafadhali mwenye kujua namba hii.

Bandabichi

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
230
Reaction score
42
Tafadhali mwenye kufahamu na hii +255 22 216 1198 ni taasisi gani coz nimepishana na call yake nikakuta missed call kuwapigia tena hawapokei.
 
Jitahidi ujue regional/zonal code numbers, kisha ujue kwenye jiji kama Dar namba zimegawanywaje ili kukupa urahisi wa kujua codes kisha trace back nyakati za masaa ya kazi UTAWAPATA
 
Tafuta directory ya ttcl, itakwambia kila kitu, hapo utapata majibu ya kukufanya u log off
 
Back
Top Bottom