Tafadhali msaada wa kutatua tatizo hili

Tafadhali msaada wa kutatua tatizo hili

BROEDASS

Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
32
Reaction score
18
NINA MDOGO WANGU BAADA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALMU KUTOKA EMAIL YAKE IKAWA NA MATATIZO HIVYO AKASHINDWA KUPATA PASWORD ALIYO TUMIWA WAKATI WA KUTUMA MAOMBI HIVYO AMESHINDWA KU-LOG IN KWENYE PROFILE YAKE ILI KUJUA AMECHAGULIWA CHUO GANI NIMEJARIBU KUWAPIGIA CENTRAL ADMISSION HAWAPATIKANI NAOMBA MSAADA WENU WADAU TAFADHALI JINSI YA KUTATUAHILI TATIZO!

NATANGULIZA SHUKRANI
 
NINA MDOGO WANGU BAADA MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALMU KUTOKA EMAIL YAKE IKAWA NA MATATIZO HIVYO AKASHINDWA KUPATA PASWORD ALIYO TUMIWA WAKATI WA KUTUMA MAOMBI HIVYO AMESHINDWA KU-LOG IN KWENYE PROFILE YAKE ILI KUJUA AMECHAGULIWA CHUO GANI NIMEJARIBU KUWAPIGIA CENTRAL ADMISSION HAWAPATIKANI NAOMBA MSAADA WENU WADAU TAFADHALI JINSI YA KUTATUAHILI TATIZO!NATANGULIZA SHUKRANI
kama kasaau atumie ile namba ya vocha aliolipia nayo TCU au kuna swali ambalo aliulizwa incase kama atasaau password kama kasaau vyote iv bas aende Ofisi za Tcu moja kwa moja rafiki yangu lilimkuta ili na alienda ofisi za Tcu akafanikiwa kupewa password........
 
ASANTE KWA USHAURI MUNGU AKUBARIKI BARBOSA
 
ALITUMA KWA M-PESA WAKAMTUMIA ILE NAMBA YA MALIPO AMBAYO ANAYO HADI SASA ILA NAOMBA MUONGOZO JINSI YA KUTUMIA
kwenye account yake aeke iyo namba ya form 4 aende sehem imeandikwa forget paswod apo itamuelekeza aeke paswod mpya na ataona sehem ya kueka iyo namba ya vocha account itafunguka tayar
 
kwenye account yake aeke iyo namba ya form 4 aende sehem imeandikwa forget paswod apo itamuelekeza aeke paswod mpya na ataona sehem ya kueka iyo namba ya vocha account itafunguka tayar
ASANTE NGOJA TUFANYE HIVYO THEN NTAKUPA FEEDBACK NDUGU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom