Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 2,442
- 3,060
MMU nawasalimu jamani.
Mimi binafsi naumia sana kuona kijana mdogo akiangamia sababu ya mtu mmoja.
Kuna mama mmoja ambaye mme wake alifariki kwa HIV mkoani Arusha ambako ndiko anakoishi, sasa huyu mama amekuwa akitumia pesa yake kutembea na vijana wadogo WA vyuo vikuu.
Huyu mama namuhifdhi kwa jina, sasa hivi ameamua kuishi na kijana wa chuo cha Arusha university kama mke na mme, kijana mdogo wa mwaka wa pili chuo ananiuma sana jamani. Na naamini fika chuoni atakuwa na wapenzi sasa sijui kama kusalimika kutakuwepo.
Ndugu wa mama ambao ni watoto wake wakubwa walioolewa wamemkalisha Yule kijana na kumueleza kuwa Yule mama si salama lakn asikilizi la kuambiwa na mama pia ameambiwa na watoto wake juu ya lile tatizo lakn haelewi lolote, jaman vijana tunakurupuka kah, mm binafsi nimeumia sana ndg zangu nikiangalia nyuma ya Yule kijana naona kama kuna wasichana wengine.
kuna mtu anae weza kumsaidia huyu kijana ILA kwa asilimia kubwa sidhan kama kasalimika, na kuna wengine ambao huyu mama anatembea nao.