Tafadhali mama unamuangamiza kijana wa watu

Tafadhali mama unamuangamiza kijana wa watu

'Mchuma janga hula na wa kwao'

Wala usipate tabu ndugu yangu....
 
mume/mke kufa na AIDS hakugarantii mwenzi wake naye kuwa ana HIV............ alipima mkaona majibu yake?

pili kama ameshakula kavu mara nyingi tu , hizo warning zenu zitasaidia nini kwa sasa?

mumuwache kijana wa watu apumuwe..........
 
Maji yakimwagika yaweza kuzolewa?Too late! watoto wa kike ndio wachukue tahadhari kwani naamini watakuwa wakijipendekeza kwa jamaa,si ana vichenji kutoka kwa maza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ana vaaga condom!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ninafikiri kijana huyu amekuja kugundua kuwa mama huyo ni mwathirika baada ya kufanya naye ngono zembe na sasa ana amini kuwa tayari amesha umia hivyo haoni sababu ya kumuacha huyo mama hasa ukizingatia kuwa anafedha. ninalo taka kumshauri huyo kijana ni kwamba kuna uezekano mkubwa pia kuwa bado hajaambukizwa nina mshauri akapime afya yake kisirisri na akigundua yuko salama aachane naye.

Na vipi akijikuta si salama aendelee nae?
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Utashangaa ukiambiwa wengine washatoa maisha yao sadaka kuwafurahisha wenye virusi.

Au wengine wanaamini katika Zumaism, ukipiga bao na kuoga minyenyere yote unaiosha.

Ukiambiwa wengine wanaamini katika kikombe cha babu utasemaje?

Do you, and let others do them.

Mtu yeyote anayekubali kufanya ngono zembe kashakubali risk ya UKIMWI.

As long as ni mtu mzima na hapajabakwa mtu, kinachokuuma ni nini?

Ina maana wewe una huruma na maisha ya watu baki kuliko wenyewe wanavyojionea huruma?

Au una lako jingine?
 

nahisi kumjua huyo mama
sio yule mume alivyokufa tu
akamgea hawara suti za mume
hawara mwenyewe mwili hana akivaa
hizo suti watu mbavu hatuna,na akimchoka
mwanaume anatimua, anavuta mwingine!!pesa inaongea lolz!!

 
Vijana starehe na kutafuta urahsi wa maisha bila kujishugulisha vinatuponza sana!!!......... Usiwaze sana mkuu ameamua kuish kwa kauli hii" anaishi maisha ya liwalo na liwe bas ww ishi yale ya ngoja tuone" hata kenge haamin mpaka aone damu
 
Unapothibitisha huo ugonjwa uliwapima wewe? Mbona uko too bias
 
MMU nawasalimu jamani.

Mimi binafsi naumia sana kuona kijana mdogo akiangamia sababu ya mtu mmoja.

Kuna mama mmoja ambaye mme wake alifariki kwa HIV mkoani Arusha ambako ndiko anakoishi, sasa huyu mama amekuwa akitumia pesa yake kutembea na vijana wadogo WA vyuo vikuu.

Huyu mama namuhifdhi kwa jina, sasa hivi ameamua kuishi na kijana wa chuo cha Arusha university kama mke na mme, kijana mdogo wa mwaka wa pili chuo ananiuma sana jamani. Na naamini fika chuoni atakuwa na wapenzi sasa sijui kama kusalimika kutakuwepo.

Ndugu wa mama ambao ni watoto wake wakubwa walioolewa wamemkalisha Yule kijana na kumueleza kuwa Yule mama si salama lakn asikilizi la kuambiwa na mama pia ameambiwa na watoto wake juu ya lile tatizo lakn haelewi lolote, jaman vijana tunakurupuka kah, mm binafsi nimeumia sana ndg zangu nikiangalia nyuma ya Yule kijana naona kama kuna wasichana wengine.

kuna mtu anae weza kumsaidia huyu kijana ILA kwa asilimia kubwa sidhan kama kasalimika, na kuna wengine ambao huyu mama anatembea nao.

Nawachukia watu kama wewe mnaoleta mada hoti then mwishoni utasikia eti jina nalihifadhi, unalihifadhi for what na kwa nini umeamua kuleta information hapa kwa watu ambazo ni incomplete
 
Bado kuna watu wanaoanzisha mahusiano ya kimapenzi bila kujua hali za afya zao???????????????????

Kijana Msomi, huwezi jitambua kwa hili???????

Mpe pole ila mshauri akapime ili kama hajaathirika achukue hatua

Na Huyo mama anajimaliza mwenyewe maana anaweza pata pia maambukizi mapya
 
Sioni tatizo kwavile hujathibitisha kwa vyeti kama huyo mama ni HIV+. Kufiwa na mwenza + haina maana na wewe tayari ni +.
Pengine wote wawili tayari wana maambukizi waliyoyapata kabla ya kufahamiana hivyo wamekubaliana na hali hiyo.
Pengine wanafanya ngono salama. who knows!!
 

huyu kijana nae hajafwata sex
kafwata hela kwa jimama hheheee
Himidini mapenzi hayana formular!!
tusijidanganye tamaa ni tamaa tu!!

Pesa ndiyo mpango mzima, haibagui mtoto, mkubwa, mzee, kijana, mwanaume au mwanamke!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom