William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Kwanza wengi wameisha kili utendaji wako mzuri na kunashaka ndogo zaidi juu ya uadilifu wako kuliko wagombea wote wa CCM.
naomba uachane na Usikubali kukaa meza moja na Lowasa kwasababu zifuatazo.
Moja Lowassa anataka ahakikishiwe kulindwa kwa maslahi yake yeye na marafiki zake kama wewe ukiwa raisi hata kama yanaumiza maslahi ya nchi. Ndio maana anatumia watu umuite eti mtafute maridhiano.
Pili lowasa sio msafi machoni pa wakosoaji kuambatana nae ni kubaliki uchafu na ufisadi tuhuma ambazo zinamkabili mda mrefu na ameshindwa kuthibitisha kuwa hahusiki nazo.
Atakuunganisha na marafiki wake wasioaminika
anahasira za kukatwa hivyo hakuna uhakika kama hana kisasi moyoni.
Magufuli jipe moyo Wafuasi wa Lowasa waliobaki wapo monduli tu. Wengine wamelala mbele na naamini utashinda bila msaada wa mafisadi.
na lazma Lowasa ajue unaweza kuwa raisi bila yeye kukusapoti na unaweza.
Kumbuka JK aliingia kwa msaada wa Lowasa na watuhumiwa wa ufisadi na akashindwa kufanya mazuri kwenye nchi.
Najua magazeti ya Lostam yatamsifu na kukuponda na ya Mengi pia sijui alihaidiwa vitaru vya gesi? Kuwa na imani utashinda tu.