Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Nimekuwa naumizwa sana na hali ya mrembo Joketi kukosa mwanaume wa maana. Ambaye wataweza kujenga naye future na sio kuchezewa kama hawa wakina Ali Kiba ambao hawana future...... Kwa ujumbe huu, tafadhali Joketi njoo kwangu. Wewe ni mrembo sana tena sana. Njoo kwangu...
Kwa sasa Mimi ni mwanafunzi wa Phd (Mlimani). Nimepanga nyumba Bahari Beach.... Nafanya biashara zangu katika mikoa kadhaa ila Makao Makuu yangu yapo Dar... Nina umri wa miaka 29...
Naamini kwa sifa hizo na kwa jinsi ninavyokupenda we can make good couple. Na nazidi kuamini hizo ni sifa za ziada. Tafadhali njoo kwangu achana na hawa vijana wasio na malengo ya years to come!