Tafadhali CAG usijiuzulu

Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Alikosea swali,swali lilikuwa:-
Eti sh 1.5 trilion hazijulikani zimefanya kazi gani? Hapo jibu lilikuwa NDIO,bila kupepesa macho.
Swali kama zimeibiwa sio sahihi kwani hakuna anaejua kwa sasa kama zimeibiwa au la zimetumiwa kinyume cha sheria.
 
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over

Utendaji hauendi namna hiyo, namba zinajibiwa kwa namba na maelezo ya kutosha. Tafsiri ya kumsimamisha CAG mbele ya kandamnasi ni kumtisha
 
Acha kupotosha ukweli ndugu changamoto nilazima ili nchi isonge mbele kwa ubabe hakuna kusonga mbele ndugu
 
Ajiudhulu tu, anashindwaje kuhoji ziliko 1.5trilion? Akwende
 
Amemzarau sana CAG.
If that the case mbona hawakumpelekea hayo maelezo mapema!

WAMEVULIWA NGUO......WACHUTAME.
 
Alikosea swali,swali lilikuwa:-
Eti sh 1.5 trilion hazijulikani zimefanya kazi gani? Hapo jibu lilikuwa NDIO,bila kupepesa macho.
Swali kama zimeibiwa sio sahihi kwani hakuna anaejua kwa sasa kama zimeibiwa au la zimetumiwa kinyume cha sheria.
 
Hawezi kujiuzulu sababu anafahamu kabisa hakuna chochote kitakachomkuta, ila angekuwa kwenye nchi ya watu wenye akili timamu tayari tungekuwa tulishamsahau kama alikuwa ni CAG
 
Kama wewe ndie uliyemteua basi atajiuzuru,ajiuzuru kwa lipi?kwa hizo habari za akina Zitto au hizi za upuuzi wa mitandaoni.
 
Accrue basis taasisi za kiserikali? kuna jambo halipo sawa!
 
Hawa mbwa ccm wanayemfuga huyu mbwa anayeharibu nchi laana ipo juu yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…