Tafadhali CAG usijiuzulu

Hahahah kujiuzulu angefanya hivo akiwa mgeni 2014 saivi ni ngumu mnoo...
 
Tuombe iwe hivyo maana hawataki aendelee kuwepo hapo ndiyo sababu wanamshambulia na kumdhalilisha. Msalimie baby.

Hahahah kujiuzulu angefanya hivo akiwa mgeni 2014 saivi ni ngumu mnoo...
 
Wewe unafikiri hata asipojiudhuru atafanya kazi kawaida kama mwanzo?

Huyu CAG hamu yote ya kazi hana kwa vitisho vile kuanzia saiv usishangae hata matv wakatumwa kwenda kumuhoji ili atoe ufafanuzi mwengine wa iyo pesa kama anavotumiwa kafulila.
 
Jiwe limepatikana lieleze zilipo 1.5 trillion na sio kutoa vitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…