Tafadhali CAG usijiuzulu

Tafadhali CAG usijiuzulu

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,793
Reaction score
6,411
Habari wakuu.

Pamoja na yote unayokumbana nayo ktk kazi yako. Tafadhali CAG usijiuzulu.
Kitendo cha leo ulichofanyiwa ikulu mbele ya vyombo vya usalama na umma najua kimekuudhi sana.

Ila nakuomba sana usijiuzulu. Ukikosea ukafanya hivyo itakuwa Sherehe kubwa sana kwa fisadi mkuu jiwe. Hilo ndio lengo lake.

Wewe tulia pamoja na visa vyote anavyokufanyia hadharani na sirini.

Ukweli watu wameujua.

Namba hazijibiwi na porojo au vitisho na ubabe..

Swali uliloulizwa umejibu sahihi kabisa.
Ni sawa na mtu aniulize leo. Eti Ben Saanane ameuwawa. Jibu ni Hapana.
Maelezo yake ndo HAJULIKANI ALIPO.

Bado tunasema serikali iseme ipo wapi trillion 1.5?!!!
 
Siwezi kubishana na na mtu anae mtumikia kafili aisee mimi najiamini na maisha yangu na huwa naumia sana kuona hii nchi watu waki ishi kwa tabu kwajili ya watu wavhache kama nyie.
Haya mfuasi wa. CAG
 
ingekuwa mimi CAG ningejiudhuru sio tu kwa kusimamishwa bali kwa kudhalilisha u profesa wake,kwa maelezo ya naibu waziri fedha ina manisha CAG hakujua kuwa zile ni recevable! na hakujua kuwa TRA wanatumia mfumo wa accrual basis richa ya kupelekewa nyaraka na serikali na kwa maana hiyo ile report yake yote haina maana na ni takataka
 
Back
Top Bottom