NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,921
mimi naweza mtia mtu kilema umeniibia halafu unanidhihaki
huyo mwanamke nae kiazi, hajui maneno hayo yataathiri hata mustakabali wa watoto?
Mtani, am not buying yo reason anyhow....
Mkuu nimejaribu sana kumsihi kuwa mvumilivu nikiamini hasira zingepungua kadiri siku zinavyosonga ila naona watoto wanamkumbusha tukio. Kwa upande mwingine ni vigumu mimi kuwa na uhakika kuwa watoto ni wake au la.Wewe si rafiki wa kweli
Yaani wewe ndo unamakosa na usirudie tena hata siku mmoja kumplease mtu kama ulivyo fanya. wewe una ushahidi gani wa mtoto, wala hujaweza kushuhudia waki do!! hata hujui mimba ilingia lini, pengine hata tarehe ya kuzaliwa mtoto hujui!!!Rafiki yako anaumia, mpe maneno ya faraja, uamuzi wake usiwe na madhara kwake binafsi. Ila usimwambie kuwa kaambiwa kwa hasira, na et haina maana!! nope. Inasemekana mtu akilewa, akifurahi, au kukasilika anaongea ya moyoni.
Mwenye kujua mtoto wa nani, ni mwanamke tu, period. kama kasema kwenye ugomvi basi ni ukweli, period. jamaa yako afanye vile itafaa.
Ushauri, Uamuzi wake usiwe na madhara ya moja kwa moja kwa mtot0 (watoto) tajwa, maana hana kosa yeye anahusishwa tu.
Wakatabahu
kwa kawaida huwa hatusemi huwa tunawakumbusha tu jinsi mlivofanana na watoto wenu!
po
hapo kwenye blue kirahisi rahisi tu?haswaa, ndoa ya ki-serikali, watoto wawili. DNA kwangu ni lazima.
hujawakuta weye wataalam wa kufananisha mtani!
kitu kinapigwa hivi
''mh yani beby hebu angalia ulivoniharibia mtoto ndo nini kumpa komwe hivi!''aahahahhahahaha na we unachekelea tu!''hi hi hihi ila kweli hili komwe langu kabisa hili hata mi nlivokuwa mdogo nilikuwa hivi hivi''
nakupiga nyingne ''af angalia alivo na macho kama ya shangazi yake ,yaani wifi bwaana!''
huyo mwanamke nae kiazi, hajui maneno hayo yataathiri hata mustakabali wa watoto?
hapo kwenye blue kirahisi rahisi tu?
nijuavyo mimi utaratibu ni mgumu sana kwa hapa bongo ,na mashine ni moja
Mkuu mtoto kumfuata baba'ke mzazi na kumuacha aliyemlea inategemea na kichwa cha huyo mtoto! Nmeshuhudia kijana mmoja akimtimua jamaa mmoja aliyeenda kudai kuwa ni baba'ke tena kwa fedheha mno.usije ukajidanganya hta siku moja kulea mtoto wa mtu akikua atamtafuta babake tu na wewe utabaki huna lako umemsomesha kwa shida raha anakwenda kula baba asiyemmjua wala kumhudumia ni hatari,fukuza watoto wote rudisha kwa mama yao,kama mimi bepali i never give a **** to any fly,if she snitch i ditch!!