Usomi wenyewe wa mwendokasi ulionakshiwa na kuungaunga! Kaaazi kwelikweli. Tembelea hapa:Kuna tofauti kati ya msomi (intellectual) na mwanataaluma/mwanazuoni(academician). Machapisho kawaulize wanataaluma
Unaweza kumlinganisha usomi wake kwa kusoma hapa:Kuna tofauti kati ya msomi (intellectual) na mwanataaluma/mwanazuoni(academician). Machapisho kawaulize wanataaluma
Sijaona requirement ya machapishoUsomi wenyewe wa mwendokasi ulionakshiwa na kuungaunga! Kaaazi kwelikweli. Tembelea hapa:
the definition of intellectual
Soma vizuri halafu linganisha na huyo msomi wa kuzuga, kama anafaa kuwa katika hilo jina la usomiSijaona requirement ya machapisho
Kwan umeambiwa yeye ni Printpak?Msomi mzuri sana, je ana machapisho?
Pitia hapa ili ujiridhishe kama huyo "msomi" wa mwendokasi anaweza jinasabu mbele ya kadamnasi kwamba anafaa kuitwa msomi: Intellectual - Wikipedia, the free encyclopediaSijaona requirement ya machapisho
Kwan umeambiwa yeye ni Printpak?
Huyu mzee namkubali kwa vituko
Sasa sisi inatuhusu nini?haya majisifu ya kijinga kabisaLUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.
* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).
* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.
* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.
Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
**************************
Kweli wewe ni zaidi ya tabu tupu
Umeonaeeeeee?Mnakuja kujisifia humu tu hamna lolote
Uvccm kweli nyie ni majuha na mnamchekesha aliye nunaKwan umeambiwa yeye ni Printpak?
LUHENDE PIUS GERALD SHIJA MKURUGENZI MPYA WA ITIGI.
* Pius alimaliza Sekondari O' level Kilosa Sekondari ( 1990- Kizunguzi), akaenda form six kisha diploma, akawa mwalinu wa sekondari.
* Mwanzoni mwa miaka ya 2000 akawa Mkaguzi wa shule huko shinyanga. 2005-2007 Alikuwa akisoma diploma in education management and administration (ADEM-BAGAMOYO).
* Mwaka 2008 akaenda ARUSHA UNIVERSITY, alipomaliza akapelekwa ukaguzi kanda ya Tabora-Kigoma.
* Mwaka 2013 Alianza Masters of Education in educational planning and administration- JORDAN UNIVERSITY.
Mwaka 2015 alihamia ukaguzi kanda ya mashariki. Na aligombea ubunge jimbo la Kishapu akashindwa kura za maoni.
**************************
Ukisikia Halmashauri wengine wanaona ni kataasisi kadogo sana, na mtu yeyote anaweza kujifunza jinsi ya kuongoza. Tukijikwaa tusiulizane nani mchawi wa maendeleo yetu. Ukiangalia CV ya huyo msomi unajiuliza, je inajitosheleza kiuzoefu?
Nadhani awali walishaweka vigezo vya kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri na walikuwa na sababu zinazojitosheleza. Hilo walilifanya baada ya misuguano mingi na mamlaka za uteuzi zikafikia muafaka wa kuainisha vigezo.
Lakini leo tunaleta siasa kwenye taaluma na taratibu za ukweaji wa madaraka. Tusiseme sana, ngoja tusubiri sie yetu macho na masikio.
Hata iweje MAGUFULI kakosea uteuzi huu kwa sana tu. Kuna watu wamesoma Political Admin au Law au Economics na wako Halmashauri au Mikoani kama Waratibu wa Wilaya au Mikoa, ila ka waacha kachukua makada wa@CCM tu!!
Ama kweli amefanya Demotivation to employees' work morale.
Kuna hadi walimu wa Nganza Sec kawachukua, KISA MSUKUMA. Kajaza tu kabila lake.
Hao wasomi ndio wametufikisha hapa
Ww unadhani kwa nn kila teuzi za Rais utasikia Prof au Dr?Hao wasomi ndio wametufikisha hapa