Tabu sana hizi hospitali zetu

Tabu sana hizi hospitali zetu

Asante kwa ushauri ndugu,
Mkuu senkoP!
Muhimbili ndipo mwisho wa ambulance zote. Kuna wagonjwa wengi sana wa general, pengine hata tukiingia huko hata sisi tunaweza tusimudu.

Private ya MNH iko vizuri mno asikwambie mtu. Na kwa kuwa bima ya NHF inapokelewa private, tumia njia hiyo ili upate huduma kwa wakati na pia unapata fursa ya kuchagua daktari bingwa wa kum attend mama.

Kama hana bima inagharimu km 1.5m ikijumuisha watu sita kwa mwaka mmoja. Ukienda private hospital nyingine nazo ni gharama pia ila ujue wakikwama wanakupeleka MNH.

Usiamue kwa jaziba na hisia, angalia uamzi utakaokuwa na nafuu na ahueni kwako na kwa mama.

Mungu na akutie nguvu ili uweze kustahimili hizi changamoto na hivyo umpatie mama uponyaji kwani inawezekana.

Barikiwa sana mpendwa.
 
Tafuta hela mpeleke hospitali binafsi. Kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Nashindwa hata pa kuanzia ila; Nenda kwenye maombi tu. Kama huko Muhumbili ambako ndo tulitegemeaa msaada ndo wanakupiga chenga, sasa uende wapi?? Mrudie tu Mungu ukamwombee mama. Samahani kwa ushauri wangu wa kijinga sana ila kuliko kukaa na kulalamika wakati hufanyi chochote, nadhani fanya tu hata hilo la maombi.
 
Vyuma, watu hawana moyo wa kufanya kazi tena, Bora liende.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako
 
Nashindwa hata pa kuanzia ila; Nenda kwenye maombi tu. Kama huko Muhumbili ambako ndo tulitegemeaa msaada ndo wanakupiga chenga, sasa uende wapi?? Mrudie tu Mungu ukamwombee mama. Samahani kwa ushauri wangu wa kijinga sana ila kuliko kukaa na kulalamika wakati hufanyi chochote, nadhani fanya tu hata hilo la maombi.
Mr. maombi ndio mpango mzima na mpaka sasa tunahudhuria maombi na huku tunatafuta tiba za hospital.....
 
Kama utamtumainia Mungu nakuhakikishia utashangaa atakachokifanya. Mara nyingi Mungu anataka kusikia kuwa; Sasa Baba hatuwezi tena tunakungoja wewe
 
Kama ana bima ama unaweza mpatia bima nenda kama private patient pale pale Muhimbili.

General huwa kunakuwa na foleni ndefu sana mpendwa. Pole sana kwa kuuguliwa na mama.
Huyo automatically ni mgonjwa wa kupelekwa ocean road na huwezi kupokelewa ocean road kutokea hospitali za private lazima utokee Muhimbili tu
 
Back
Top Bottom