LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Muzina Mutate eli mwana! Naya sense tanzu!! Ekuta eyaka na sonso!! Apepe Tabu Ley(Pascal Tabu)
Rip bro tabuley daima tutakukumbukaR.I.P. Tabu Ley umeniburudisha enzi izo nikiwa mdogo
Muzina Mutate eli mwana! Naya sense tanzu!! Ekuta eyaka na sonso!! Apepe Tabu Ley(Pascal Tabu)
Rest in Peace Tabu Ley! Mimi nitakumbuka kwa kibao cha huzuni baada ya kuachwa na Mbilia Bel. kinaonyesha jinsi alivyoumia tungekua sisi kina Mushi na Munisi "Mbilia angefutika" hivi wadau kiilikuwa chaitwaje?