ChaiKuna jamaa alinitonya Tabora umeme kama wote, tafuna kijanja sio kiboya mzeiya.
Kabali yangu mwenyewe.Chinno yuko bush anaandaa mashamba msimu wa kilimo umewadia 😹
Umekosa adabu kwa sumbantale wako.?Janja kapigika kishenzi, anyway hawa kumkata kende la sivyo asinge rudi humu daima 😂😆
Janja salimia kwanza isije ikawa kama tuli shinda wote hiko kwenye gongo.Umekosa adabu kwa sumbantale wako.?
Mimi ni sumbantale huku mboka dogo