Hiyo ilisha chakaaNipo hapa O2 hamna ishu pamepoaaa
Njoo terrace/tetesi,bliss, inferno,kiota au serengetiO2 kwasasa haifanyi vizuri
Labda upepo ulibadilika,nilienda kule miaka mingi sanaNipo hapa O2 hamna ishu pamepoaaa
Waarabu wapo hapo? Nitatembelea hivi karibuni.Njoo terrace/tetesi,bliss, inferno,kiota au serengeti
Pita maeneo ya mboga sabaWenyeji wa Tabora nielekeze mahali palipochangamka hapa MJIN TABORA,HASA CLUBS,BARS NA SEHEMU ZA KUPATA WATOTO WA KINYAMWEZI!
Mboga saba iko maeneo gani?Pita maeneo ya mboga saba
Hiyo ishakuwa ya kizamani bro, aende Terrace, Blizz na Kiota Lounge!Kuna mahali kunaitwa Oxygen hapo ndio mahali kumechangamka kunapigwa miziki na watu kula bata yaani huko ndio kama Sinza/Kinondoni yao.
Zaidi ya hapo sinzani kama kuna sehemu nyingine
Chinno yuko bush anaandaa mashamba msimu wa kilimo umewadia 😹
Janja kapigika kishenzi, anyway hawa kumkata kende la sivyo asinge rudi humu daima 😂😆Chinno yuko bush anaandaa mashamba msimu wa kilimo umewadia 😹