🤣🤣🤣 WatakujaWenyeji wa Tabora nielekeze mahali palipochangamka hapa MJIN TABORA,HASA CLUBS,BARS NA SEHEMU ZA KUPATA WATOTO WA KINYAMWEZI!
Kuna mahali kunaitwa Oxygen hapo ndio mahali kumechangamka kunapigwa miziki na watu kula bata yaani huko ndio kama Sinza/Kinondoni yao.Wenyeji wa Tabora nielekeze mahali palipochangamka hapa MJIN TABORA,HASA CLUBS,BARS NA SEHEMU ZA KUPATA WATOTO WA KINYAMWEZI!
ijumaa nitakuwa hukoBado nalitafuta chimbo,upo wap?
Nipo hapa O2 hamna ishu pamepoaaaKuna mahali kunaitwa Oxygen hapo ndio mahali kumechangamka kunapigwa miziki na watu kula bata yaani huko ndio kama Sinza/Kinondoni yao.
Zaidi ya hapo sinzani kama kuna sehemu nyingine
nasikia kuna band maeneo ya telasKaribu nitakuwa bado nipo,nimekaa hapa Serengeti park naona wanataka kupiga live baand
Vipi pana vibe au napo pamepoaaa kama hapa O2Karibu nitakuwa bado nipo,nimekaa hapa Serengeti park naona wanataka kupiga live baand