Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Tayari tumekwisha mpokea na sasa ni mapumziko ya muda kabla ya kuanza safari ya kwenda kwenye eneo la mkutano wa kwanza katika kata ya Ishimulwa wilaya ya Uyui.

Pamoja sana Kamanda.Magamba wameshikwa vibaya sana hapa Tabora!
 
Unapokuwa unaandika kumbuka ulipo! Mimi nipo Tabora na kilichosemwa na mtoa mada ni 100%. Je wewe upo wapi? Pole wana Lumumba team.

Kamanda watu waliokaa Lumumba wasikupotezee muda.Ndiyo maana mimi huwa siwajibu!
 
Kifo chenu kibaya mkuu,mnarusha rusha miguu ndiyo roho inaacha mwili. Na ninyi mjadilini mwenyekiti wenu CCM Jakaya maana ana kibarua kigumu juu ya mawaziri 7 akiwemo na yeye mwenyewe maana na yeye ni mzigo kwa taifa la Tanzania na raia wake
 
Kinana anaua tembo wetu kimya kimya......... well copied!
 
Unapokuwa unaandika kumbuka ulipo! Mimi nipo Tabora na kilichosemwa na mtoa mada ni 100%. Je wewe upo wapi? Pole wana Lumumba team.

we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.
 
walisema bungeni kuwa Rage alikula hela za mradi wa zahanati ml 140 na HK akala za madarasa ml kadhaa
 
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.

hata mwanza na ukerewe chadema haikuwepo ililetwa na tukaikubali na inaendelea kuenea Tanzania nzima ikiwemo Tabora
 
Dr Slaa ni zaidi ya kiongozi....viva chadema
 
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.

Wewe unaifahamu Tabora au unaishi Tabora au upo Tabora muda huu? Au upo Tabora kupitia mtandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…