Tabora: Wabunge wa CHADEMA waachiwa kwa dhamana; Kupokewa kwa maandamano Igunga

.mlipo wapiga wabunge arusha, tabora na nyamongo sheria ilifatwa?

Kwa kuwa ninyi ni tofauti na sisi kwa ninyi msioneshe mfano kwa kufuata sheria kwa kuishitaki serikali mahakamani? Mbona mtu mmoja kama Mtikila anaweza kuishinda serikali mahakamani?
 
Vyombo vya usalama vinababa lawama hizi pamoja na serikali yenyewe kufanya kila jitihada kubaka demokrasi. Wananchi wanakosa uvumilivu baada ya kuona haki zao za msingi za kidemokrasi zinabakwa na watawala wenye kujali matumbo yao, hali vyombo vya usalama vikitumiwa kulinda maslahi ya serikali na chama tawala na kuwatelekeza wananchi wengine.

Kama vyombo vya usalama vingetenda haki haya yasingetokea, na kama vyombo hivi havibadiliki makubwa zaidi yatakuja jitokeza siku za usoni. Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

IMG_1637.JPG

Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi
sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na
watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya CCM,
kurushiwa mawe katika kijiji cha Nkinga.

Kwa huyo DC kutofunguliwa mashtaka kunazidi kudhhirisha kuwa chini ya utawala wa CCM, haki si sawa kwa wote. Mimi nimejifunza yafuatayo !
  • Kama wewe ni mfanya biashara mwizi ukitaka mambo yako yanyooke, jifiche CCM !
  • Kama wewe ni mtendaji wa serikali mdokozi ukitaka usiguswe na dola, jiunge na CCM !
  • Kama wewe ni muuaji, jambazi, tapeli na mwongo na hutaki bugdha, vaa vazi la CCM !
  • Kama jamii haikutaki lakini unautaka ubalozi wa nyumba kumi gombea kupitia CCM !
  • Kama huna weledi ama sifa lakini unautaka uongozi wa nchi, toa rushwa kwa CCM !
  • Kama una tuhuma mbali mbali za ufisadi na rushwa tafuta hifadhi ndani ya CCM !
Ukivaa kijani na ukaamua kuipigia kampeni na kuisifu CCM, madhambi yako yote yatasamehewa na tuhuma zozote dhidi yako zitafutwa.
 
vyombo vya usalama vinababa lawama hizi pamoja na serikali yenyewe kufanya kila jitihada kubaka demokrasi. Wananchi wanakosa uvumilivu baada ya kuona haki zao za msingi za kidemokrasi zinabakwa na watawala wenye kujali matumbo yao, hali vyombo vya usalama vikitumiwa kulinda maslahi ya serikali na chama tawala na kuwatelekeza wananchi wengine.

Kama vyombo vya usalama vingetenda haki haya yasingetokea, na kama vyombo hivi havibadiliki makubwa zaidi yatakuja jitokeza siku za usoni. Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

img_1637.jpg

mbuge wa mtera, livingstone lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi
sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na
watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya ccm,
kurushiwa mawe katika kijiji cha nkinga.

ana mimba?
 
Kwenye hizo picha akina dada ni wengi sana. Kwa kweli wamehamasika, wanajua siasa si vitisho tena. CHADEMA imewapa TUMAINI Jipya
 
Makosa juu ya makosa... Kwa kila CCM wanavyojaribu kutumia nguvu zaidi ndivyo Chadema inavyozidi kupata umaarufu. CCM lazima wajifunze mbinu za nguvu ya Umma kutafuta uongozi na sii nguvu ya dola, mwisho wake watashindwa tu. Kwa maana hiyo CCM wamepoteza jimbo la Igunga..
 
umeona wasafiri kwenye basi nao wanawanyooshe alama ya vema waandamanaji ha ha
IMG_1711.JPG
 
Makosa juu ya makosa... Kwa kila CCM wanavyojaribu kutumia nguvu zaidi ndivyo Chadema inavyozidi kupata umaarufu. CCM lazima wajifunze mbinu za nguvu ya Umma kutafuta uongozi na sii nguvu ya dola, mwisho wake watashindwa tu. Kwa maana hiyo CCM wamepoteza jimbo la Igunga..
Historia inaonyesha kuwa majimbo yote CCM iliyotumia nguvu za ziada iliyapoteza.
 
Tumejifunza mengi sana lakini lililo wazi ni kwamba tuna viongozi wa siasa ambao hawaujui msamiati wa kuvumiliana na kudai haki zao kwa amani. Kwamba viongozi tulionao kwenye baadhi ya vyama ni watu ambao hawana maadili na siyo mfano wa kuigwa kwa vizazi vya baadae. Ni watu ambao uwezo wao kwa kupewa dhamana ya uongozi wa nchi unatia mashaka makubwa.
<br />
<br />
kaka nyosha maelezo kidogo kama pana hoja vilee!
 
Welcome back to ground zero our heroes, the pain inflicted to you are social wounds that carries human liberation, and Igunga constituent. right from today you will go in the books of history to write a new chapter for Igunga constituent. You are not alone when they cage you, millions turn against them, and if they kill you thousands become a born again politicians, no wander the warm reception accorded to you by Igunga people they (ccm) will be sleepless tonight and the next few weeks before voting day. Our lost glory is now viewable from a short distance and our lobbed freedom will soon be in the safe hands of CDM.
 
Halafu bado mnataka kutuambia kuwa mtasimamia haki na sheria? Kuna wakati mtakuja kukumbuka us.enge mnaoushabikia unaweza kuwageukia na ninyi, hasa ninyi masikini maana na uhakika mtu kama Mbowe na familia yake hawawezi kupata shida.
<br />
<br />

Mods fungia hii kuku. Inajifunza matusi hapa..
 
Mapambano muda wote,nguvu ya uma ya uma haijawahi kushindwa kokote duniani,Mungu ibariki chadema,Mungu ibariki Tanzania
 
[h=3]Wabunge wa Chadema wafikishwa mahakamani[/h]

WASOMEWA MASHTAKA MATATU LIKIWAMO LA WIZI, WAACHIWA KWA DHAMANA
Waandishi Wetu, Tabora na Igunga

WABUNGE wawili wa Chadema na kiongozi mmoja wa chama hicho wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora kujibu mashtaka matatu kwa pamoja likiwamo la kumshambulia Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario.Mbali na mashtaka hayo kuwakabili watuhumiwa wote, watatu ambao ni Mbunge wa Viti Maalumu, Suzan Kiwanga, Sylvester Mhoja Kasulumbayi (Maswa Mashariki ) na Anwar Kashaga, Kasulumbayi ameongezewa shtaka moja; kumtukana matusi ya nguoni mkuu huyo wa wilaya.

Watuhumiwa hao kwa pamoja, walifikishwa mahakamani hapo jana chini ya ulinzi mkali wa polisi na kusomewa mashtaka hayo, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Thomas Simba.
Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Juma Massanda aliieleza mahakama kuwa katika shtaka la kwanza, Kasumbayi alimtukana matusi ya nguoni mkuu huyo wa wilaya. Alisema alitenda kosa hilo Septemba 15, mwaka huu katika Ofisi ya Ofisa Mtendaji wa Kata ya Isakamaliwa wilayani Igunga.

Read more »
 
Vyombo vya usalama vinababa lawama hizi pamoja na serikali yenyewe kufanya kila jitihada kubaka demokrasi. Wananchi wanakosa uvumilivu baada ya kuona haki zao za msingi za kidemokrasi zinabakwa na watawala wenye kujali matumbo yao, hali vyombo vya usalama vikitumiwa kulinda maslahi ya serikali na chama tawala na kuwatelekeza wananchi wengine.

Kama vyombo vya usalama vingetenda haki haya yasingetokea, na kama vyombo hivi havibadiliki makubwa zaidi yatakuja jitokeza siku za usoni. Lisemwalo lipo na kama halipo laja.

IMG_1637.JPG

Mbuge wa Mtera, Livingstone Lusinde, akiwaonesha maafisa wa polisi
sehemu ya kioo cha gari lake kilichopasuka baada ya kurushiwa mawe na
watu waiojulikana wakati masfara wa magari ya kampeni ya CCM,
kurushiwa mawe katika kijiji cha Nkinga.

Haya ya msafara wa CCM kuingia kasoro ya kutupiwa mawe na kulengwa gari la Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde ni baada ya Mkutano wa Kampeni ambapo Mbunge Livingstone Lusinde aliongea yafuatayo kwenye mkutano wa hadhara, na pengine ndiyo yaliyowakasirisha baadhi ya watu hadi kuchukua sheria mkononi.

KAMPENI za uchaguzi mdogo katika jimbo la Igunga, zimezidi kupamba moto baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kujiapiza mbele ya wananchi kuwa atakunywa sumu iwapo chama hicho kitashindwa kwenye uchaguzi huo.

Akizungumza na wanakijiji wa Ugaka kwenye kata ya Nkinga wilayani hapa wakati akimwombea kura mgombea wa CCM, Dk. Peter Kafumu, Lusinde alisema kutokana na mwenendo mzuri wa kampeni za CCM na jinsi wanavyowafikia wananchi, haoni sababu za kushindwa kwenye uchaguzi huo.

“Hapa nimewaona waandishi wa gazeti la Mbowe (Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA); nataka mkaandike kwa namna ambavyo tumezunguka, CCM tukishindwa nakunywa sumu,” alisema na kuongeza:

“Nataka tuwaambie, tutawapiga bao la mbali kabisa na huyo Dk. Slaa sisi tunammudu ndiyo maana tukamwambia Mzee Kikwete, endelea kuongoza nchi atuache vijana tumkabe koo maana yule mzee ni mnafiki mkubwa,” alisema Lusinde.

“Kale kazee kagonjwa kale, ndiyo maana nimekuja kuwaambia inawezekana viongozi wa CHADEMA wanavuta bangi, zile bangi zile, haiwezekani unatembea nchi nzima unahamasisha vurugu, unatangaza vita,” alisema Lusinde Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM.

Tanzania Daima
 
Makosa juu ya makosa... Kwa kila CCM wanavyojaribu kutumia nguvu zaidi ndivyo Chadema inavyozidi kupata umaarufu. CCM lazima wajifunze mbinu za nguvu ya Umma kutafuta uongozi na sii nguvu ya dola, mwisho wake watashindwa tu. Kwa maana hiyo CCM wamepoteza jimbo la Igunga..

Kaka wazee wa kushauri mmekaa pembeni mnaangalia kama cinema! Sasa unategemea nini Mkuu wangu.

Unajuwa hawa waliopo CCM leo hata vyama vingi hawakuvita na walitaka kusingizia kura za maoni kuzuia kama si Mwalimu Nyerere kuingia kati vyama vingi visinge ruhusiwa Tanzania 1992, na hata hivyo uchaguzi wa 1995 pamoja na kuwa walimsusia mwalimu uchaguzi lakini vyombo vya dola vilitumika kistaraabu sana na kwa akili ya hali ya juu sana kama ikiwa vilitumika, walilazimisha kupiga wananchni wanaompokea Mrema kwa shangwe na kutumia mabomu lakini Mwalimu alikuwa anapinga kabisa na kuchukizwa nalo, mara zote akisema watu wakimbeba mtu wao kama maiti kwanini nyie muwapige? Alisisitiza sana kuwaacha watu wafanya kampeni zao kwa uhuru na hata siku chache kabla ya uchaguzi alikaa kikao na Mrema na Marando na kuwa nao faragha, kitu ambacho hawa jamaa wa leo hawawezi kufanya kabisa, mwaka jana hata mdaharo na wapinzani waligoma! Uwezo wao wa kuongoza umegoka kaka ndio mwisho wao wakufiki hapo.
 
Back
Top Bottom