mwanansao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 205
- 218
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha
Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki kubwa, baada ya watu wasiojulikana kuwa na kawaida ya kuwateka watoto wanaoenda shule na kisha kunyofolewa sehemu zao za siri.
Namwaminia mkuu wa mkoa Mhe. Aggrey Mwanri, kama ni kweli basi afanye la ziada. Na wakazi wa Tabora muache ushirikina, this is too much.
Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.