ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Duh! Kumbe na mwaka huu tumeshika mkia matokeo ya Darasa la saba?
Itatizo lya ntola ni hostoria ya mwalawo niswe bila komanya kwa copy na kopest ka utaratibu kavo, kofuma ndiyo kosapa ipango do mpa mpende, lkn genekele gina madoka na biashara zenge, masula malavoHee mdugu wane mnya Sikonge selesele.........
Duh! Kumbe na mwaka huu tumeshika mkia matokeo ya Darasa la saba?
kabisa mkuu, waswahili kwisha kazi, wao wanaona maendeleo ni anasa mtu karithi nyumba anachofanya ni kununua mikeka tu ya kukalia kupiga soga, mi sielewi ule usemi mzigo mzito mpe mnyamwezi ulitokana na nini?Kweli Tabora inahitaji ibadilike kwanza kifikra,kabla ya kuwa na ufaulu mzuri.Yaan wale watu bora tu wangehamia Zanzibar maana ni kama waswahili sana isee.
teh teh te nimeishia kucheka tuUnajua kuna vitu huwa pia vinachangia mkoa kuwa na mwamko wa kielimu.Ukiondoa sera nzuri za elimu, vitendea kazi, uwezo wa wazazi kuwagharamia watoto wao elimu, kuna kitu watu wanakisahau ambacho mimi huwa nakina ni cha muhimu sana yaani uwepo wa watu mashuhuri ambao wanafunzi watapenda kwenda shule ili wawe kama wao. Sasa huko tabora wanafunzi wakiangalia watu wao ambao ni maarufu kama prof kapuya,prof lipumba, sitta, Dr kitila mkumbo,rage wanafeli wakiwa darasa la kwanza.So sishangai kwa haya yanayotokea.
Changamoto sana
Tena bora ya torabora, Tabora ni kuzimu kabisa na mkoa wa misukule nyambafu.Wewe ndo umetukana unawezaje kulinganisha kwetu na Torabora
Tena bora ya torabora, Tabora ni kuzimu kabisa na mkoa wa misukule nyambafu.