Tabora mji wa washamba kubayaaa


Wewe huwajui vizuri wanyamwezi...ni watu wa maneno maneno sanaa, fitina sanaa.
 
1/ ni watu wa dini sana wengi wao waislam 2/ mostly sio watu wa pombe 3/ wakarimu na sio wachoyo wa chakula 4/ wasafi 5/ wanawake wanajua mpz na kutunza mume 6/ wavumilivu kwenye mahusiano 7/ mwanamke akikuchoka kamaanisha 8/hawana tamaa ya mali9/ wanawake si wajepukaji 10/ wakulima wazuri and sooooo
 
Hili jamaa ndio maana walilipiga ndani.
 
Sasa wewe mzee ulienda mitaa ya uswahilini je ulienda cheyo A, B, na C na je ulifika Mitaa ya Ipuli Bonana na freemasonry na je sansiro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…