Tabora mji wa washamba kubayaaa

Usikute umetemwa na wadada wa tabora maana hawadanganyiki kirahisi kama uliingia na gia ndogo lazima uwachukie tuu [emoji160][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu nataka nikafanye utalii maeneonya igunga ,kuna ndugu zangu naenda kuwatafuta kuna mzee wetu alikuwa askari amefariki tunasikia kaacha mbegu kule
 
Mm sehemu nzuri inaanzia mtaa ninao kaa,qapi naweza kwenda na nini naweza kufanya nikiwa free na free time,aina ya watu wako warm kumix na wageni ,mzungukonwa pesa uko rafiki.
Na yake mambo yetu ya kuficha maji na kuhifdhi nyama zetu za siri yako Byee?
Hayo mambo ya migorofa sijui barabara sijui nyumba tope hayani shughulishi
Mimeshawahi kupigs kambi changerengere na nili enjoy mbaya -totoz biere nikaona siku zinaenda kasi tu
 
Acha uongo hivi Tabora ya mwaka 1994 ni sawa na Tabora ya leo 2018 tumesoma Tabora miaka unayosema 1990's na tukabahatika kurudi rudi tabora miaka 2018 ukisema Tabora ipo vile vile utakuwa una matatizo tena makubwa unapaswa ufanyiwe maombi

Tabora ya 1994 ifanane na ya leo 2018 ambayo takribani asilimia 80 Barbara zake za ndani zina rami, mkoa umeunganishwa na rami mikoa ya kanda ya ziwa kupitia Barbara ya nzega tabora, kweli uwapendi wanyamwezi,

Tabora ya mwaka 1994 nakumbuka ile kanyenye nilikuwa kama majarubani tu, uko mwinyi ndio hakufikiki majaruba majaruba, uko ipuli ndio usiseme ni maporini, haya uko makokola wanaita uzunguni ndio porini balaa Leo hii kijana aliyezaliwa mwaka 2000 ukimpa hizi hadithi hakuekewi kabisa

Tabora inabadilika tena kwa kasi sana hiyo mitaa kama isevya, ngambo, kiloleni, mwanza road kubadilika ni vigumu sababu ndio miji mikogwe ya wazawa maeneo hayo kubadilika huwa vigumu sana kwa sababu nyumba nyingi za familia za urithi kwaiyo suala kuuza au kubomoa ijengwe nyumba ya kisasa huwa vigumu sana, si kwa tabora tu mikoa mingi nenda kata kogwe ipo vile vile michache imebadilika
 
Wanyamwezi naomba mniambie maana ya mboka manyema.
Mtoa mada Tabora kama kubaya nenda London.
 
Uhovyo wake upo wapi? Unaweza ntajia mkoa ambao si wa hovyo Tanzania?
Mkuu wa mkoa wa Tabora alisema wanawake wa waganga ndio wanene sana tabora kwa ajili ya kula kuku wa kafara , ebu jirekebisheni muache tabia hizi za miaka 47
 
Mkuu wa mkoa wa Tabora alisema wanawake wa waganga ndio wanene sana tabora kwa ajili ya kula kuku wa kafara , ebu jirekebisheni muache tabia hizi za miaka 47
Uko serious unachokiongea akhy. Maana mimi nilijua ungeleta Economics Education, Development facts.
 
Uko serious unachokiongea akhy. Maana mimi nilijua ungeleta Economics Education, Development facts.
Alkhy wangu huko kwenye uchumi tuwaachie BOT walimaliza kazi mapema walitoa mikoa 9 matajiri , lakini TABORA haipo mimi lengo sio kuisema tabora hapana mimi nashangaa Tabora walipata Fursa nyingi sijui hata walifeli wapi!! kama ni haya mambo ya kula makuku ya laana tuache
 
Kumbe Tz ina mikoa 10 tu.
 
Kumbukeni Tabora ina historia kubwa kwa uhuru wa nchi.Tabora ni watu walioelewa haraka maana ya vyama Vingi.Walimpa tabu kidogo Nyerere.Ninachowapendea Wanyamwezi sio wanafiki kwenye kusema ukweli wanakuchana live.Nawakumbuka James Mapalala,Kasanga Tumbo, Abdala Fundikira, Kasela Bantu
 
Wanyamwezi most of them ni wafitinishaji sana. Nawajuwa vizuri hawa viumbe, sio watu wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…