Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

kayogo

Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
75
Reaction score
42
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa Nzega mheshimiwa Hamis Kigwangala anayejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo amevua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLAH BLAH za CCM.

Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wa zamani wamekabidhi kadi za CCM na kukabidhiwa zile za CHADEMA na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.

Karibu nyumbani kamanda.

attachment.php
 
Attachments

  • kigwa-jr.JPG
    kigwa-jr.JPG
    41.2 KB · Views: 2,868
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
 
Mkuu kamanda wa anga leo hatakuwepo? Ila hao inabidi wamulikwe sana make unaweza kuta ni mkakati wa Magamba kuchomeka watu, Ili uchaguzi ujao wagombee hata udiwani kupitia CDM and then waje kujitoa dakika za mwisho na kuiachia CCM ipete
 
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.
Aisee hata mimi hii imekoroga ubongo wangu. JF kapu kubwa sana.
 
Uraia wake ni wa wapi?

Ule uraia wa nchi yao ya asili amekubali kuukana? Maana Tanzania hatuna dual citizenship.
 
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa nzega mheshimiwa hamis kigwangala anaejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo anavua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLABLA za CCM. Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wazamani watakabidhi kadi ya CCM na kukabidhiwa ile ya CDM na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.

karibu nyumbani kamanda
Hapo kwenye Red.Huyu mdogo wa dr Hamisi Andreas Kigwangala ambaye ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI mbona majina hayakutani kabisa? Hata ya ubini wameshindwa kushirikiana? Kwamba kila mtu na baba yake?
Pamoja na hayo,karibu sana CDM kamanda Kahumbi. Kwa pamoja tutafanikiwa.
 
Umesema mdogo wa Hamis Kigwangala afu unatuambia jina la huyo mdogo wake ni LUMOLA STEVEN KAHUMBI. Mbona napata shida kuelewa ni kwa nini umeita wenye majina haya ni ndugu??? mbona majina haya yanaonesha discrepancy kubwa sana?? Je ni kusema kwamba mama yao alizaa na wababa tofauti???Kama ndivyo ungeliweka vizuri kuwa ni half brother wa Hamis Kigwangwala.

mkuu,kama yule Naibu waziri Mulugo au Nchemba unadhani wadogo zao au kaka zao majina yapo sawa??
 
Saidi Bagaile vs Hamis Kigwangala vs Lumola Steven Kahumbi... :twitch::twitch::twitch:
 
Mdogo wa mwisho wa mbunge wa nzega mheshimiwa hamis kigwangala anaejulikana kwa ina la LUMOLA STEVEN KAHUMBI leo anavua MAGAMBA na kuvaa MAGWANDA rasmi BAADA YA KUCHOSHWA na BLABLA za CCM. Lumola pamoja na MAGAMBA wenzie wazamani watakabidhi kadi ya CCM na kukabidhiwa ile ya CDM na mh. ZITTO KABWE leo saa kumi jioni kwenye viwanja vya SHULE YA MSINGI TOWN.

karibu nyumbani kamanda

Kama hujui uwe unauliza wanaojua,Steven kahumbi alikuwa mbunge wa bukene miaka ya nyuma na anaishi Itanana,H kigwangala ni mbunge wa nzega,sema huyo lumola ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa bukene Steven kahumbi, hebu sahihisha tuelewe basi
 
mkuu,kama yule Naibu waziri Mulugo au Nchemba unadhani wadogo zao au kaka zao majina yapo sawa??
In fact nlikuwa nataka mtoa mada ajibu ili niweze kudraw conclusion ya aina hiyo. Hawa jamaa ambao jina la baba na la ukoo linatofautiana na ndugu zao wa tumbo moja ndio wale wale marepeater - walionnua majina ya wenzao baada ya kushindwa katika ngazi mbalimbali za elimu.
 
mnashangaa nini mbona kigwa mwenyewe jina lake ni SAID BAGAILE labda nae ali nunua jina
Nashangaa kwa kuwa kuna mbunge alikuwa anaitwa Steven Kahumbi. Nilidhani labda ndiye mzazi wa huyu Lumola.
 
Kuna kitabu kimoja cha Dini kimeandika kwamba , Wapeni watoto wenu Majina Mazuri muyapendayo ninyi ! ( Siyo lazima yawe ya Kiarabu wala ya Kizungu )
 
Hamtaki kukubali kuwa labda mama wa Mh. Kigwa alichakachua na huyo mbunge Steven Kahumbi na kumpata huyu Lumola?
 
Siasa huwa inaanika mambo mengi ambayo awali yalionekana kama ni private. Sasa Mh. Kig akija humu akakuta haya yanajadiliwa sijui eti wanachangia mzazi mmoja tu, sidhani kama atakuwa na amani. Tuache kuchambua sana, kuchamba kwingi ...
 
pamoja na kuipenda kwangu CDM.. this is wrong, last born wa Kigwa anaitwa Mwalimu, kamaliza chuo flani UG past two years
 
Tatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.

Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.

Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.

Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.
 
Back
Top Bottom