Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

Mkuu we chizi fresh, unless utuambia una viroba kichwani
Wewe nadhani umetumwa! sinaga tabia ya kubishana wa watu ambao ni dhahiri ni few bricks short of full a load!Nadhan hiyo ni mibange! Nakupuuza tu!
 
Karibu dogo. Njoo tuendeleze harakat za kuikomboa nchii toka mikono ya wabadhirifu wamali za taifa letu. Inaonekana wewe zile za kuambiwa umechanganyA na za kwako. Karibu
 
Hivi wale watoto wa Wassira waliishia wapi?

Yaani chadema ukihamia kama jina lako sio la kigogo hakuna mtu anayekujali. Ndio maana watu kama Mohamedi Mtoi wanahangaika kukinadi chama lakini hawathaminiwi...

Kutambuliwa na kuthaminiwa kwa mtu ndani ya Chadema si sawa na ccm kuwapatieni ujira wa buku saba kwa post hapa JF!

Kamanda Mohamedi Mtoi ni upanga ukatao kuwili anawakimbiza wajingawajinga kama wewe hapa JF lakini pia anawapeleka puta huko mitaani kunakofanyika siasa kiuhalisia.

Najua unawish kamanda Mtoi ahamie magambani ili mumjazie mapesa lakini yeye si njaa kali kama ninyi vidampa wa lumumba.

Chadema tunafanya kazi kwa kujitolea wakati magambani mnafanya kazi za utumwa kwa kulipwa buku saba na hiyo ndiyo tofauti kubwa baina yetu sisi na ninyi watumwa!
 
Last edited by a moderator:
Karibu dogo. Njoo tuendeleze harakat za kuikomboa nchii toka mikono ya wabadhirifu wamali za taifa letu. Inaonekana wewe zile za kuambiwa umechanganyA na za kwako. Karibu
 
Kama hujui uwe unauliza wanaojua,Steven kahumbi alikuwa mbunge wa bukene miaka ya nyuma na anaishi Itanana,H kigwangala ni mbunge wa nzega,sema huyo lumola ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa bukene Steven kahumbi, hebu sahihisha tuelewe basi

kwa taarifa yako stevin kahumbi ndio baba wa lumola na kigwa, hutaki sikukatazi. hata yeye mwenyewe leo kasema kakak yake kigwa alimkataza kujiunga cdm ila babab yake mzee kahumbi katoa baraka.
 
Lumola steven kahumbi na hamish kigwangala wamechangia mama tu.kila mtu ana baba yake.karibu chadema kijana
 
Tatizo la CHADEMA kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.

Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake Mbunge Kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa CHADEMA.

Siku akijiunga mtu ambayo ni NATIONAL FIGURE, kuna wanaCHADEMA wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.

Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.

Katibu Mwenezi wa CCM --- Moses Nnauye 1980s
Katibu Mwenezi wa CCM --- Nnape Nnauye 2010

Waziri wa FEDHA --- CLEOPA DAVID MSUYA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi--- Mathayo David Msuya Mathayo

President Ali Hassan Mwinyi
Waziri wa Afya --- Dr. Hussein Mwinyi
Mbunge wa East Africa -- Abdallah Mwinyi

President Jakaya Kikwete
NEC MEMBER--- Salma KIKWETE
NEC MEMBER--- PRINCE RIZONE
NEC MEMBER--- UNCLE/ANTIE

Former Minister Kighoma Malima
Naibu Waziri --- Malima

Waziri wa Ndani --- Emmanuel Nchimbi
Mkuu wa Mkoa Dodoma --- L Mchimbi

Na Wengine Wengi kama Mongella; AbdulWalil;

Kwahiyo kabla ya kusema wengine angalia NYUMBANI kwako pia kumeoza vibaya na UONGOZI wa JUU NI CULT... sidhani kama utaweza kuingia ndani ya huo UONGOZI wa JUU...

“Better a good journalist than a poor assassin."
 
"Better a good journalist than a poor assassin."

ngoja nikuongezee mkuu makamba baba na mtoto
 
Katibu Mwenezi wa CCM --- Moses Nnauye 1980s
Katibu Mwenezi wa CCM --- Nnape Nnauye 2010

Waziri wa FEDHA --- CLEOPA DAVID MSUYA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi--- Mathayo David Msuya Mathayo

President Ali Hassan Mwinyi
Waziri wa Afya --- Dr. Hussein Mwinyi
Mbunge wa East Africa -- Abdallah Mwinyi

President Jakaya Kikwete
NEC MEMBER--- Salma KIKWETE
NEC MEMBER--- PRINCE RIZONE
NEC MEMBER--- UNCLE/ANTIE

Former Minister Kighoma Malima
Naibu Waziri --- Malima

Waziri wa Ndani --- Emmanuel Nchimbi
Mkuu wa Mkoa Dodoma --- L Mchimbi

Na Wengine Wengi kama Mongella; AbdulWalil;

Kwahiyo kabla ya kusema wengine angalia NYUMBANI kwako pia kumeoza vibaya na UONGOZI wa JUU NI CULT... sidhani kama utaweza kuingia ndani ya huo UONGOZI wa JUU...

“Better a good journalist than a poor assassin."
Mkuu, hujaelewa hoja ya msingi hapa. Mimi ninaongelea watu wanaokuwa ofisi moja kwa wakati mmoja kwa vyeo vya kupeana. Ninakupa dokezo kidogo kwa picha ili ulielewe somo vizuri,
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    34.7 KB · Views: 67
  • image.jpg
    image.jpg
    29.7 KB · Views: 55
  • image.jpg
    image.jpg
    36.3 KB · Views: 52
  • image.jpg
    image.jpg
    33.5 KB · Views: 55
  • image.jpg
    image.jpg
    46.9 KB · Views: 51
We ndiyo umepotea kabisa. Huo siyo utamaduni wa kiafrika acha kupotosha. Utamaduni wa kiafrika ubini haubadiliki, huo ni utamaduni wa wazungu.
Ukiona watoto wa mama moja ubini haufanani ujue huyo mama ameolewa na waume zaidi ya moja.
Mwulize mamake akuambie kwann wewe na mdogo wako ni tofauti. Japo nimeona ubini umejirudia hapo.
Kuelewa is always AN OPTION..hivyo siwezi kukulazimisha uelewe maana huenda mwisho wako ndo huo!Kwa hiyo hata mama akizaa na waume wengine hao watoto nitawaita MJOMBA,SHANGAZI,BABU AU SHEMEJI?! Majina ya wadogo zangu niliowataja wanatumia mmoja jina la ubatizo la baba,wale wawili wanatumia jina la kiasili la babu halafu mie natumia jina la asili la baba!Utasema si ndugu kwa sanbabu ya Surname?Watu wapumbavu nchi hii!Swali ambalo hukujibu,ni kwa nini Aitwe HAMIS ''ANDREA" Kigwangallah badala ya HAMIS ATHUMAN KIGWANGALLAR?!Alislimu baada ya kubatizwa au nani mkrissto kati ya nani kweny familia yake?! Ukipata jibu,hutohangaika kujua kwamba wale ni ndugu zake au lah! Ni bahati nzuri kwamba najivunia kuelewa nilipokuwa shule na si kudesa! Mkitanguliza ushabiki,hoja huyeyuka...Jibu maswali yangu yote ndipo utajiona kwamba kwa watu wenye fikra pevu,wewe wewe ndo umejiunga nursery
 
Mkuu, hujaelewa hoja ya msingi hapa. Mimi ninaongelea watu wanaokuwa ofisi moja kwa wakati mmoja kwa vyeo vya kupeana. Ninakupa dokezo kidogo kwa picha ili ulielewe somo vizuri,

Umewasahau watu FULANI...SAikulaumu kwa sababu kusahau ni jamabo la kawaida..Ni sharti kukukumbusha
Samwel Sitta VS Magreth Sitta-Wote wabunge(MTU na MKEWE)
Vita Kawawa VS Zainabu Kawawa-Wote wabunge(MTU NA MDOGO WAKE)
Zarina Madabiba VS Salum Madabida(Mke ni mbunge mme ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa DSM)
Jakaya Kikwete VS Salma Kikwete -Wajumbe wa NEC(MTU NA MKE)
Salma KIkwete VS Ridhiwani KikweteWajumbe wa NEC(MTOTO NA MAMAKE)
Pius Msekwa VS Anna Abdallah-Makamu mwenyekiti mstaafu na mbunge( MKE NA MUME)
Bila kusahau familia ya KARUME,familia ya Mwinyi,familia ya Sokoine, nk

Changia hoja mkuu wangu,watu kama nyie ndo tunawategemea nchi hii!
 
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.
 
Nonsense ni kutengeneza kina SHONZA WENGINE tuh kusiko na sababu,yeye ana nini cha kutuaminisha kama si mamluki...
 
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.
Kwenye orodha niliyokupatia nambie nani kateuliwa na nani kachaguliwa!Halafu unambie kama uliyoitoa wewe inatofauti gani?! Tofauti ninayoijua ni kwamba kwaCCM,mtoto wa fulani lazima awemo ila kwa CHADEMA ni lazima uifanyie kazi!Hata wangalikuwa ni familia moja tu mie sina tatizo nao maana wanafanya kazi ya kutetea wananchi wakati wale wa kwenu kazi yao ni NDIYOOOOOOO!
 
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.

Dah unazingua sana..,
Lakini nimekuelewa...
 
Wewe ndiyo unasahau kama kuna vyeo vya kuteuliwa na kuchaguliwa. Usinikumbushe vyeo vya kuchaguliwa ukataka kuvifananisha na vyeo vya kuteuwana na kufanya kazi katika ofisi moja kwa muda mmoja.

Hizo picha sawa,lakini Chadema ilitumia formula ya msomi alie bobea Dr Kitila Mkumbo kuwapata hao wabunge wa viti maalum! Huwezi pingana na formula ya Msomi wa Phd,hapo hakuna upendeleo! Imetokea tu kwa bahati mbaya mtoto wa Ndesambulo formula ikamuibua,na dada yake Lissu formula ikamuibua,hata Raya Ibrahim ali ibuliwa na formula hiyo hiyo japokua mjomba wake ni Makamu Mwenyekiti Chadema Taifa-Zanzibar,Pia Suzan Lyimo mkwe wa Mzee Ndesambulo nae kaformula ka dr Kitila kalimuibua,pia Anna Komu shemeji yake na Anton Komu mkurugenzi wa Utawala na Fedha Chadema nae ni ForMula ile ile,pia Rose Kamili yule mke wa zamani wa Dr slaa nae ni kaformula ka dr Kitila kalimuibua! Binamu yake Zitto Mhongwa nae utaratibu ule ule,Lakini pia Chiku Abwao iringa ambae ni ndugu yake Mchungaji Msigwa nae kapatikana na formula ya dr Kitila.......!
 
Kigwangalla, Nkamia, Nchemba, Lusinde, Serukamba, Ndugai, Makinda, Chenge et al...Hawastahili kupewa headlines kwenye mambo ya CDM... Hawa hata vizazi vyao vitakuwa havifai maana hawana uchungu na uporwaji wa rasilimali zetu....
 
tatizo la chadema kwa vile umejengwa kifamilia na kirafiki basi mawazo yao yanafikiri kifamia familia na kikabila kabila.

Kwa vile tu huyu kijana ni mdogo wake mbunge kigwangalla basi anahitaji centre stage kutokana na muundo wa chadema.

Siku akijiunga mtu ambayo ni national figure, kuna wanachadema wanaweza hata kuzimia kwa fulaha.

Mpaka hapo mtakapo badilisha mtazamo, mtaendelea kuwa wapinzini wa kudumu.

wewe namna gani kwanza kajifunze kiswahili '' nini maana ya fulaha''?
 
Back
Top Bottom