nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Mkuu, hujaelewa hoja ya msingi hapa. Mimi ninaongelea watu wanaokuwa ofisi moja kwa wakati mmoja kwa vyeo vya kupeana. Ninakupa dokezo kidogo kwa picha ili ulielewe somo vizuri,
HAPO ndio Umemaliza ? sasa CCM ni CULT wewe Jaribu kugombea U-NEC uone utakapotupwa...1st watakata jina lako haufahamiki... unatetea chombo hakikufahamu?