Watu wajinga nchi hii sijawahi kuona!Nini maana ya mdogo wa mtu?!Kwani undugu unaishia wapi katika jamii za kiafrika?CCM wametuharibia elimu kweli kweli!
Mnashangaa ubini wao kutokufanana siyo?!
Mbona mie naitwa VENANT RUGABELA lakini wadogo zangu wanaitwa JOSEPHINA KAKULWA, VALENCE KAKULWA, VICTOR PHILEMON?!Au mtasema siyo wadogo zangu kwa sababu hatuna jina linalotuunganisha?!Hamjui kwamba MICHAEL DALALI ni ndugu wa tumbo moja na JOHN MNYIKA ila wanatumia ubini tofauti?!
Mnataka baba akiitwa Kawawa, basi watoto wawe .....KAWAWA ili iweje!?
Mbona hamshangai yeye kuitwa HAMIS "ANDREA" Kigwangallah?!Vp mtu aitwe HAMIS na hapo hapo awe na jina la ANDREA?!
Hamjui kwamba siku hizi unaweza kuwa na ndugu ambaye baba/mama si mmoja au wakawa wamoja ila wengine wakatumia ubini wa ujombani?!
Hata hivyo,tuliwahi kuambiwa mbunge mwenyewe Mrundi hivyo si ajabu hawa ndugu zake ndiyo waliomhifadhi!
Tujaribu kupunguza ujinga tunapoikaribia 2015...Mnalo magamba!