Hushan
Member
- Dec 5, 2011
- 73
- 41
wanajamviii nimeona niweke wazi sijui kama kuna watu wanafahamu hii wine inayotoka south africa inayoitwa amarula yaani ni kukosa viwanda sijui ni nini, maana miti ya matunda haya yapo mkoa wa Tabora japo kuwa yanapatikana kwenye misitu.
Lakini sioni hatari kama watu tutajitosa na kuchuma na kuuza hata atokee mfadhili atengeneze kiwanda cha wine kama amarula.
Nasikitika sana Watanzania tumelala fo fo fo
Lakini sioni hatari kama watu tutajitosa na kuchuma na kuuza hata atokee mfadhili atengeneze kiwanda cha wine kama amarula.
Nasikitika sana Watanzania tumelala fo fo fo