Tabora kumebadilika jamani

Kabisa fursa zipo mkoa wowote bt kuna ile mikoa ambayo bado watu hawajaexplore hizo fursa kwa hakika,so hzo ndo places za kutafuta mawe then warudi mjin kutesa
Fursa zipo popote. Ukienda mkoa wowote hapa Tanzania halafu usiwakute wachaga nakushauri uhame fasta. Hapafai hapo. Sawa Ciello?
 
Last edited by a moderator:
We ntake radhi cjasoma uhazil,nimesoma tabora galz
Kumbe tabora girls na sketi zenu za kubana za rangi ya bahari nimewatafuna sana totoz za hapo angalia na wewe usiwe mmoja wao
Lol
 
Kabisa fursa zipo mkoa wowote bt kuna ile mikoa ambayo bado watu hawajaexplore hizo fursa kwa hakika,so hzo ndo places za kutafuta mawe then warudi mjin kutesa

popote tutafika. Usiogope.
 
Naona Nicas mtei tuko juu!
 
Uringe nimeondoka warsaw nikiwa sealed,labda uliwalamba vinuka mkojo!
Kumbe tabora girls na sketi zenu za kubana za rangi ya bahari nimewatafuna sana totoz za hapo angalia na wewe usiwe mmoja wao
Lol
 
Last edited by a moderator:
.... wadau tabora kumebak na economic activity gani. nimetika huko miaka mingi kiwanda cha nyuzi bado kinafanya kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…