Karibu Tabora School
Tabora kumechange, kumeimprove sana ,nikilinganisha na miaka 5 niliyoondoka kumekuwa na mabadiliko makubwa hongera kwa wachaga u have changed tabora!
Kuna investments kubwa za real estate zimefanyika tabora,nimepigwa butwaa,kuna mahotel mengi ya kifahari yamejengwa kama manchester,mwafrika,kuna lodges za ukwel,kumbi za starehe mpya ambazo sikuziacha tabora.tabora hotel hamna kitu imebak history.nimefanya karesearch kadogo wengi wa wawekezaji hao ni wachaga.kwel nimeamin alipo mchaga kuna maendeleo, lol
We jana tu nimelala apo mwafrika ipo opposite na manchester nyuma ya stendi.
Kumbe hizo ndo hotel kubwa tabora? duu, huo mkoa bado sana.
Kwanini Kahama isiwe mkoa sasa, kwani kuna magorofa na nyumba za hatari.
Yah man, u rock meeeeen!! Mwanzoni sikuamin kama niko tabora lol, kuna mpaka wazungu na wachina, kama una vijisent njoo uwekeze tabora inalipa mkuu,kwani market ya real property inakuja juu kwa kasi and in no tm mtu anarudisha capital na kuanza kureap profit!
Mh mzee wa sifa upo
Tabora kumechange, kumeimprove sana ,nikilinganisha na miaka 5 niliyoondoka kumekuwa na mabadiliko makubwa hongera kwa wachaga u have changed tabora!
Hapana sijapata nafasi shosti,nilitingwa na majukumu, bt tabora kumebadilika lol
Mh mzee wa sifa upo