Tabora Boys: Special school inayopotea!

Tabora Boys: Special school inayopotea!

Mbwiga88

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
642
Reaction score
142
Kwa mtazamo wangu tabora boys ni shule ya vipaji maalum inayopotea na zisipofanyika juhudi zozote zile za makusudi baada ya miaka mitano hii shuke itapotea katika chati na i think kisimiri ni shule inayokuja kwa kasi kureplace tabora boys.....kwa mfano kwa upande wa advanced level tabora boys imekuwa ikionekana mara chache sana katika top 5 best schools and mwaka huu imekuwa ya kumi na tano...is that a special school??? haipo katika hata shule 10 tu bora za hapa tanzania...na olevel wao ndo hata hawasikiki tanzania ukicompare na olevel wa kibaha au mzumbe...kwa upande wa olevel ushahidi upo hapo chini katika attachment......SPECIAL SCHOOLS HAPA TANZANIA NI:
1.KIBAHA
2.MZUMBE
3.ILBORU
4.KISIMIRI
5.TABORA GIRLS
6.KILAKALA
7.MSALATO
Na kuna hii inaitwa Kibaha Girls kwa habari za jikoni in the coming years serikali ina mpango wa kuifanya special school
******Tabora Boys nimewaweka hapa makusudi coz wasipoangalia watapoea katika chati muda si mrefu****

NOTHING PERSONAL BROTHERS IM JUST TRYING TO THINK OUT OF THE BOX
Ushahidi hapa
 
Attachments

naona watabora waogopa kuchangia ukweli unauma......na waache majigambo maana wengine hata huku makazini bado wana mentality za kwamba walisoma spesho school
 
WEE KAMA NI KUTOINGIA TOPTEN BASI FUTA KILAKALA,TABORAGIRLS, KISIMIRI.

HALAFU MAZINGIRA YA TABORABOYS NI MAGUMU SANA AMINI USIAMINI KATIKA SPECIAL SCHOOL AMBAYO IMETELEKEZWA NA SERIKALI NI TABORABOYS, KIUKWELI HALIMBAYA YA MAZINGIRA YA HII SHULE INACHANGIA KUTOFANYA VIZURI SANA.

NA HII SHULE KAMWE HAITAONDOLEWA KATIKA ORODHA YA SHULE ZA VIPAJI MAALUM NDIO SHULE YA KWANZA YA VIPAJI MAALUMU(1925) , INAHISTORIA NDEFU SANA KATIKA NCHI HII NA DUNIA KWA UJUMLA.

NA PIA SHULE HII YA TABORABOYS IMEKUA IKITOA WANAFUNZI BORA KITAIFA KWENYE TOPTEN NA KWA KUONGOZA KWENYE MASOMO MFANO MWAKA2011 WANAFUNZI WA TABORA BOYS WALIONGOZA KITAIFA KWA MASOMO YA physics, chemistry,biology and maths.

NA KAMA HAITOSHI IKAWA YA 7 KITAIFA WAKATI MZUMBE SEC YA 9, KAMA HIYO HAITOSHI WANAFUNZI WA3 MWAKA HUOHUO WA TABORABOYS WALIINGIA TOPTEN.

NA KAMA HAITOSHI TABORA BOYS MWAKA 2011 NDIO SHULE YA VIPAJI MAALUMU ILIYOKUWA NA ONE ZA TATU NYINGI ZILIKUWEPO NNE , ILA TATU NDO ZIKAINGIA TOPTEN
 
mpigamsuli

Narudia sijasema itafutwa bali itapotea na kupotea simaanishi kuvanish bali kutokuwepo katika UEFA yaani ligi ya mabingwa wa elimu hapa tanzania ambayo huwa inachezwa na shule ambazo naamini kama umesoma special school utakuwa unazijua.

...and lets face it kusoma shule maalum ni bahati bt watu wakichaguliwa tabora boys huwa hawafurahi ukicompare na wenzao wa ilboru,kibaha au mzumbe..na hoja yako ya kwamba kisimiri haiqualify kuwa katika hiyo list inaonesha ni jinsi gani usivofuatilia taaluma ya tanzania kwa miaka ya hivi karibuni and trust me kama kuna shule ya serikali ambayo itakuja kumpindua Marian girls kwa upande wa advance basi itakuwa ni kisimiri...

Pia sikatai kwamba tabora boys imetoa best students kwa miaka ya hivi karibuni lakini compare na kibaha au mzumbe afu uje tena.........
 
Last edited by a moderator:
Alafu hyo aliereply kuwa kama n TOP 10 basi utoe Tabora girl kilakala na kisimiri NATAKA NMFAAMISHE kama alikuwa ajui kuwa KISIMIRI ilikuw ya 3 ktaifa mwaka jana pia mwaka huu imekuwa ya 4 kitaifa so kaa ukijua kuwa hii ni shule ya gvt inayokuja juu saana na ata intake wake hawachukui tena Div 3
 
Una uhakika na ulichokiandika? Kama mwaka huu Kismiri ni ya Nne na Ilboru ni ya ngapi?
Narudi kwenye mada Mkuu Mbwiga upo sahihi juu ya Tabora boys,kuna mwanafunzi mmoja nilishawahi kukutana nae kwa machache niliyozungumza nae,ilinipa picha halisi ya upuuzi wa wizara ya elimu juu ya elimu ya Tz,kwa kifupi hii school mimi naipenda sana maana nje ya kutoa Elimu ni Historical site nzuri sana kwa Utalii nchini.
 
Kipaji maalum ukimaanisha nin?? .kuimba...kucheza ngoma..kukimbia riadha...mpira au unamaanisha nini?? Unaposema kipaji maalum!!
 
Usijali Mkuu, hayo ni mapito!! We will bounce back, Tabora boys ni shule iliyo katika mpango mbovu wa serikali pamoja na mkoa ilipo. Nakumbuka nilipokuwa katika shule hiyo, nilisoma topic 2 za Physics kwa miaka 2 yaani Mechanics na Heat basi, topics zingine akili kichwani. Sasa hivi ukijumlisha na hili janga kuu aka CCM isiyokuwa na mikakati mizuri kwenye sekta ya elimu, basi ni bora liende.
Lakini mi naimani hizo shule unazosema lazima kuna vitu vya ziada vinavyofanyika kama kuviwezesha tofauti na hawa vijana wa Tabora Boys ambao wengi wao ni wale vipaji maalumu kweli toka vijijini huko. I survived there anyway and proud to have my 2 years experience at that school.
 
Kipaji maalum ukimaanisha nin?? .kuimba...kucheza ngoma..kukimbia riadha...mpira au unamaanisha nini?? Unaposema kipaji maalum!!

Vyema ukaulize Wizara ya Elimu,maana tumejadili sana hapa jamvini juu ya matumizi ya neno Vipaji,sasa akina nyie ambao hamjapita katika hizi shule huwa mnakuja na ushuzi wa Kupest mambo,kwanza waache wenyewe wanyukane kama huna la kuchangia hapo.
Kumbuka haujaitwa huko ulipokuwa ukifanya shughuli zako.za mchundo!
 
Hapa umenena mkuu,hizi shule zinaipa promo sana serikali hasa wakati wa malalamiko juu ya kushuka kwa Elimu Nchini!
Nakumbuka wakati nipo Ilboru ni juhudi binafsi zilizo nitoa sikuwa fahamu umuhimu wa mwalimu angalau topic moja,pale kwangu ilikuwa ni sawa na kituo cha mtihani.
Nashukuru sana kupita katika mazingira ya hizi shule.
 
Vyema ukaulize Wizara ya Elimu,maana tumejadili sana hapa jamvini juu ya matumizi ya neno Vipaji,sasa akina nyie ambao hamjapita katika hizi shule huwa mnakuja na ushuzi wa Kupest mambo,kwanza waache wenyewe wanyukane kama huna la kuchangia hapo.
Kumbuka haujaitwa huko ulipokuwa ukifanya shughuli zako.za mchundo!

Vipi kijana mbona povu jingi!! Swali limekusa nini!? Au kuuliza ni ujinga??
 
Usijali Mkuu, hayo ni mapito!! We will bounce back, Tabora boys ni shule iliyo katika mpango mbovu wa serikali pamoja na mkoa ilipo. Nakumbuka nilipokuwa katika shule hiyo, nilisoma topic 2 za Physics kwa miaka 2 yaani Mechanics na Heat basi, topics zingine akili kichwani. Sasa hivi ukijumlisha na hili janga kuu aka CCM isiyokuwa na mikakati mizuri kwenye sekta ya elimu, basi ni bora liende.
Lakini mi naimani hizo shule unazosema lazima kuna vitu vya ziada vinavyofanyika kama kuviwezesha tofauti na hawa vijana wa Tabora Boys ambao wengi wao ni wale vipaji maalumu kweli toka vijijini huko. I survived there anyway and proud to have my 2 years experience at that school.
umenena vyema mkuu na kwa serikali makini nadhani tabora ndo ilibidi iwe ya kwanza kupewa special care and treatment since baba wa taifa alisoma pale but badhani sababu za kijiographia au uzembe wa baadhi ya watu katika wizara ndo umefanya shule ile ifike pale ilipo me naweza nikaita ICU....afu wanasema big results now!!! how can you achieve that without first investing in the academic giants of tanzania me naona serikali inapata bichwa bure kwa upande wa a level at the expense of hardwork,toiling and sweats of students,,,
 
Kipaji maalum ukimaanisha nin?? .kuimba...kucheza ngoma..kukimbia riadha...mpira au unamaanisha nini?? Unaposema kipaji maalum!!

UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE KAMA UMESOMEA MISHULE YA WALIOFELI FORMSIX KAAPEMBENI KILAZA WEWE,, SHULE VIPAJIMAALUMU NI TABORABoys,kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki kalalwe
 
Alafu hyo aliereply kuwa kama n TOP 10 basi utoe Tabora girl kilakala na kisimiri NATAKA NMFAAMISHE kama alikuwa ajui kuwa KISIMIRI ilikuw ya 3 ktaifa mwaka jana pia mwaka huu imekuwa ya 4 kitaifa so kaa ukijua kuwa hii ni shule ya gvt inayokuja juu saana na ata intake wake hawachukui tena Div 3

UMEVURUGWA MARIMDA WEWE, HIZO REKODI ZA MIAKAMIWILI ZA KUINGIA TOPTEN NDO UIFANANISHE NA TABORABOYS? KAMA NI HIVYO MALANGALI NAYO INGEWEKWA SPECIAL VIrekodi vya miaka miwili huwezi kuifananisha na taboraboys
 
Hiyo KISiMIRI toka lini imetangazwa kuwa vipaji maalum?Ipo sehemu gani na imeanza lini?
 
UNAMTINDIO WA UBONGO WEWE KAMA UMESOMEA MISHULE YA WALIOFELI FORMSIX KAAPEMBENI KILAZA WEWE,, SHULE VIPAJIMAALUMU NI TABORABoys,kibaha,mzumbe,ilboru kama hutaki kalalwe

Pole sana ndugu,maisha hayaangalii kipaji!!
 
Mlosoma tabora boys kwanini msitake the lead ya kuichangia shule yenu kabla ya kulaumu? mmeisaidiaje shule?? tuepukane na ulimbukeni/kiburi kisa tumesoma vipaji! zilikuwa ni njia tu kutufikisha tulipo!! note,nimesoma st.kayumba yet maisha yanaenda!!
 
Back
Top Bottom